Tukio moja la mwisho: Vikongwe majambazi waliotikisa dunia ya uhalifu

Tukio moja la mwisho: Vikongwe majambazi waliotikisa dunia ya uhalifu

kaka tutolee series hii kitu
imenikuna sana
niweke kwenye list ya tag zako kaka
umenifanya nisingalie tena hawa wabunge wa EAC wanaoomba kura
 
Asante Mkuu kwa kigongo kingine kikali, hii Itel yangu imechelewa kunipa notification uliyonitag. Barikiwa sana
 
Da bongo ukichomoa simu ubungo unajua kwa kuikuta inamaana hao mababu wangekuwa hspa bongo maisha yoote wangekuwa wanawacheka hawa maafande wetu
 
Tag list yako huwa inanisahau sijui kwa nn,but hii kitu hufikirisha ubongo na kusahau ya akina Bashite.
 
Asante sana mkuu najikuta siku inaisha bila kujua. Na Mimi naomba uwe unanitag kila unapoweka uzi mkuu, kwani mimi ni mteja wako sana.
 
Back
Top Bottom