Tukio moja la mwisho: Vikongwe majambazi waliotikisa dunia ya uhalifu

Tukio moja la mwisho: Vikongwe majambazi waliotikisa dunia ya uhalifu

Kwa mara nyingine unaupasua moyo wangu...heshima kwako,ngoja na mimi nichukue tizi nikafanye yangu pale bot haaa haaa haa
 
Kitu nlichogundua kwenye matukio ya sampuli hii ni kwamba mara nyingi huwa ni inside job,muhusika mara nyingi huwa mmiliki ama mtu mwenye uhusiano na mmiliki wa vilivyoibiwa kwenye vaults,ukirefer kwenye tukio hili na lile la antwerp aloshiriki mkongwe na mjuvi nortabatolo utagundua hili,hapa mwathirika mkubwa huwa ni mashirika ya bima yalio insure vaults husika ama mali zilizohivadhiwa humo
Mastermind anatafuta wale magwiji wa wizi wenye cv zao anawapa kandarasi jamaa nao wengi ni adrenaline junkies wizi uko damuni ukimpa tu challenge mpya inamuwasha mwisho wa siku tukio linafanyika nyie mnadakwa yeye hadakwi.

Cha kujuyinza hapa ni kwamba namna pekee ya kuweza kuepukana na kujulikana ama kukamatwa baada ya kusepa na kajiji ni kudisappear na kuchange identity,hauwezi ukawapiga watu mihela mingi namna hyo halafu ukabaki nchi hyohyo na usidakwe,mzigo kama huo ukishaukamatia tu breki ya kwanza mpakani,kama ulikuwa unaishi northen hemisphere unahamia southern.unahama moja kwa moja without a trace,unabadilisha muonekano,ID na kila kitu then una lay low.na una hakikisha unakwenda nchi ambayo haina extradition treaty na nchi uliyopiga mzigo.
 
The bold hivi unafanya pia oral naration?,am curious.
 
Back
Top Bottom