Tukipambanisha CV"s za Mtaalam Pablo ( Spain ) na Tapeli Nabi ( Tunisia ) kwa Aibu Yanga SC wanaweza wakaamua Kumfurumusha Asubuhi tu Jangwani

Bado hata hajasinya Simba SC Mavi yameshaanza Kugonga Vyupini mwenu je, akisinya Jumatatu si ndiyo mtakunya kabisa? Poleni Watani..!!
Nenda kaangalie record zake katika timu na mechi alizoshinda akiwa kama kocha uyo muhuni wenu
 
Kocha hajawahi kuchukua hata kombe la mbuzi zaidi ya kushusha timu daraja....mbumbumbu wanafurahi kupata kocha ambaye alikuwa muokota mipira
 
Kwa mbalii kama Genta
 
Naomba maoni yako kuhusu CV yake hii Kubwa na Kali tafadhali. Vipi Yanga SC nanyi hantamani kuwa na Kocha kama huyu Pablo Franco wa Simba SC mwenye Viwango si tu vya Kimataifa bali hata na vya Mbinguni kwa Mungu Baba pia?
Acha kukufuru. Usifananishe mambo ya Mbinguni na vitu vya kijinga
 
Makolo FC waki-reply kwenye hii post yako mkuu, please ni-tag
 
Kaishusha Daraja Getafe FC.
 
Nakumbuka kwenye mwaka 1983 kama sijakosea, Simba walipotoka kwenye ziara ya mafunzo nchini Brazil, walirejea na mbwembwe kibao za Carnival Samba na Diagonal patern of soccer.

Walirudi wakiwa na makocha wawili raia wa Brazil, kwenye mechi yao na Yanga walichapwa bao 2-0 pale kwenye uwanja wa uhuru wakati huo ikiitwa uwanja wa taifa.

Ilikuwa ni aibu kubwa sana kwa klabu ya Simba kwa tambo waliyokuwa nayo kisha wanaaibishwa na Yanga ambayo haikutoka hata nje ya mipaka ya nchi.

Hivyo mleta mada najaribu tu kukukumbusha historia kwani inawezekana labda kipindi hicho ulikuwa mtoto mdogo sana au pengine ulikuwa hata haupo kabisa katika dunia hii.
 
Anyway ngoja tar 19 wazee wa kupapasa tuone huyo kocha wenu kama atasalimika kupapaswa.
 
N
Na simba imewapiga uto 5 kipindi uto wana mbwembwe na majigambo kede kede
 
December 11 tuna 'suprise package' kwenu nyie Makolo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…