Panya Mabaka
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 619
- 557
Mmesahau hivi juzi tu makolo walikuwa wanamsomesha Kocha wao MMEMKWA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kaangalie record zake katika timu na mechi alizoshinda akiwa kama kocha uyo muhuni wenuBado hata hajasinya Simba SC Mavi yameshaanza Kugonga Vyupini mwenu je, akisinya Jumatatu si ndiyo mtakunya kabisa? Poleni Watani..!!
Hahahaha.....rekodi yake kubwa huyu kocha ni kutaka kushusha timu daraja yaani hapo ndo uzoufu mkubwa alonaoNenda kaangalie record zake katika timu na mechi alizoshinda akiwa kama kocha uyo muhuni wenu
Kwa mbalii kama GentaKwa Utaalam niliousikia anao Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango vya Kimataifa na vya Mbinguni Bwana Pablo kutoka nchini Hispania nimedokezwa kuwa kuna Kozi moja ataiendesha nchini Tanzania ambapo Makocha kama Nabi, Kaze na Zahera hawana jinsi na watalazimika tu Kuhudhuria na Kuhitimu ili Kupunguza idadi ya Kipigo cha Goli za Kttosha ambacho huenda wakakipata tarehe 11 Desemba, 2021 Uwanja wa Mkapa Wilayani Temeke Mkoani Dar es Salaam.
Acha kukufuru. Usifananishe mambo ya Mbinguni na vitu vya kijingaNaomba maoni yako kuhusu CV yake hii Kubwa na Kali tafadhali. Vipi Yanga SC nanyi hantamani kuwa na Kocha kama huyu Pablo Franco wa Simba SC mwenye Viwango si tu vya Kimataifa bali hata na vya Mbinguni kwa Mungu Baba pia?
Sio kutaka kushusha, bali aliishusha GetafeKocha hajawahi kuchukua hata kombe la mbuzi zaidi ya kutaka kushusha timu daraja....mbumbumbu wanafurahi kupata kocha ambaye alikuwa muokota mipira
Makolo FC waki-reply kwenye hii post yako mkuu, please ni-tagReal Madrid kawa kocha msaidizi miezi 3 akatimuliwa
Getafe kama kocha mkuu kaiongoza michezo 10 kashinda 3 kafungwa 7 akatimuliwa
Akaenda Kuwait kafundisha timu yake ikawa inakaribia kushuka daraja akatimuliwa
Hajawahi kushinda taji lolote
Ndio mara yake ya kwanza kufundisha Africa
😂😂😂Sawa kaka huyo ataondoka kwa tweet moja ya Muddy, manake boss wenu ana moyo wa biskuti.
Kaishusha Daraja Getafe FC.Real Madrid kawa kocha msaidizi miezi 3 akatimuliwa
Getafe kama kocha mkuu kaiongoza michezo 10 kashinda 3 kafungwa 7 akatimuliwa
Akaenda Kuwait kafundisha timu yake ikawa inakaribia kushuka daraja akatimuliwa
Hajawahi kushinda taji lolote
Ndio mara yake ya kwanza kufundisha Africa
Ndiyo nani huyo hapa JF Ndugu yangu?Kwa mbalii kama Genta
#NiYeyE..., Ana A/C nyingi sana.Kwa mbalii kama Genta
Kuna kocha ambaye hana cv? Gomez cv yake hana vyeti
Na simba imewapiga uto 5 kipindi uto wana mbwembwe na majigambo kede kedeNakumbuka kwenye mwaka 1983 kama sijakosea, Simba walipotoka kwenye ziara ya mafunzo nchini Brazil, walirejea na mbwembwe kibao za Carnival Samba na Diagonal patern of soccer.
Walirudi wakiwa na makocha wawili raia wa Brazil, kwenye mechi yao na Yanga walichapwa bao 2-0 pale kwenye uwanja wa uhuru wakati huo ikiitwa uwanja wa taifa.
Ilikuwa ni aibu kubwa sana kwa klabu ya Simba kwa tambo waliyokuwa nayo kisha wanaaibishwa na Yanga ambayo haikutoka hata nje ya mipaka ya nchi.
Hivyo mleta mada najaribu tu kukukumbusha historia kwani inawezekana labda kipindi hicho ulikuwa mtoto mdogo sana au pengine ulikuwa hata haupo kabisa katika dunia hii.
December 11 tuna 'suprise package' kwenu nyie Makolo.Kwa Utaalam niliousikia anao Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango vya Kimataifa na vya Mbinguni Bwana Pablo kutoka nchini Hispania nimedokezwa kuwa kuna Kozi moja ataiendesha nchini Tanzania ambapo Makocha kama Nabi, Kaze na Zahera hawana jinsi na watalazimika tu Kuhudhuria na Kuhitimu ili Kupunguza idadi ya Kipigo cha Goli za Kttosha ambacho huenda wakakipata tarehe 11 Desemba, 2021 Uwanja wa Mkapa Wilayani Temeke Mkoani Dar es Salaam.