Killa Cam
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,264
- 6,679
Mimi akinita mume wangu najua hapa kuna kupewa jukumu lisilokuwa langu, hapo huwa imekwishaa hio sms haijibiwi tenaaaa😂😂Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mimi mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha.
Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.