Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia hapa , yamenikuta haya ...Akianza kutumia neno dear ndani ya siku tatu tangu uchukue namba ujue siku ya nne simu yake itapasuka kioo...
Gharama za ufundi sio lazima nikuelekeze zitakuwa kwa nani
Tena ndugu babu ayubuDear ni nini kwako? Mawazo yako yamekaa kinyege nyege tu.
Dear kwa tafsiri nyepesi ni Mpendwa.
Mpendwa katika Kristo
Mpendwa katika Bwana.
Au wewe ukisikia mpendwa basi unaelewa ni mpendwa katika kwichi?
Hata hivyo, kama hulipendi basi mshirikishe mhusika.
Ndugu, mimi sipendi unavyoniita 'Dear'. Badala yake ni-address kama 'Ndugu'.