Mimi akinita mume wangu najua hapa kuna kupewa jukumu lisilokuwa langu, hapo huwa imekwishaa hio sms haijibiwi tenaaaaππMdada akitumia neno dear kuni-ddress mimi mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha.
Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
Uwoga wako ndio umaskini wako. Wasichana wa siku hizi wamekuwa rahisi sana. Afadhali wewe unaitwa "dear" kuliko wengine tunaoitwa "mume wangu" siku ya kwanza tu. Sasa ungeitwa hivi si ungefungua kesi ya jinai kabisa mkuu?Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mimi mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha.
Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
Nadhani badala ya kudelete jina, nitaivunja simu kabisaSasa ungeitwa hivi si ungefungua kesi ya jinai kabisa mkuu?
Ndiyo. Kuna mdada alianza kuniita dear siku ya kwanza tu, nikadhani nimepata, kumbe nimepatkana. Ndiyo maana nina hasira nao sanaKwa hizi hasira,, ushawahi pigwa tukia na mdada anaitwa dearππ
Basi usiwe ivo dearππππ yaani nitakusakama popote ulipo na hii dearNdiyo. Kuna mdada alianza kuniita dear siku ya kwanza tu, nikadhani nimepata, kumbe nimepatkana. Ndiyo maana nina hasira nao sana
Basi tutawaambia wawe wanatumia neno "Mpendwa"Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mimi mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha.
Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
π π€£ Nitakuwa nakunywa Panadol kutuliza maumivu kila nikisoma comment yakoBasi usiwe ivo dearππππ yaani nitakusakama popote ulipo na hii dear
Mm hilo neno dear silitakiDear mbona naona ni neno simple sana. Hata wadada tunaitana sana. Unaweza ukaenda dukani kwa mtu akakukaribisha "karibu dear" na ndio mmekutana siku hiyo.
Dear jamani,,kunywa dawa ovyo ni hatari kwa afya yako dear.π π€£ Nitakuwa nakunywa Panadol kutuliza maumivu kila nikisoma comment yako