Dear ni nini kwako? Mawazo yako yamekaa kinyege nyege tu.
Dear kwa tafsiri nyepesi ni Mpendwa.
Mpendwa katika Kristo
Mpendwa katika Bwana.
Au wewe ukisikia mpendwa basi unaelewa ni mpendwa katika kwichi?
Hata hivyo, kama hulipendi basi mshirikishe mhusika.
Ndugu, mimi sipendi unavyoniita 'Dear'. Badala yake ni-address kama 'Ndugu'.