Tukipika kuku nyumbani, mimi nalishwa vipapatio, vitoto vyangu vya umri wa miaka 5 na 8 ndio vinalishwa mapaja. Je, hii ni sahihi wakuu?

Huenda wewe sio baba kwenye hiyo familia 😅

Kwa ninavyojua baba huwa wamwisho kuanza kula ila ni wakwanza kushiba ili watoto wale washibe. Wanaume huwa tunashiba njiani, ukifika home ni kugusa tu kiushahidi.
 
Wanao unawaita "vitoto"?? Hapo sijakuelewa. Kwanza Hao ni watoto wako au vitoto vyako? Kama kweli Hao ni watoto wako tena ni wakiume. Nimegundua jambo kwamba wangekuwa ni wakike usingechukia binti zako kupendelewa.

Hapo mkeo yupo sahihi 💯
 
Wakuu Bwana Yesu asifiwe!

Ebana kuna issue inanitatiza halafu nimeshindwa kuizungumza kwa mhusika ambae ni wife nikaona nitafute kwanza mawazo humu.

Issue nzima iko hivi, ninavyojua kwa mila na ustaarabu wa kiafrika endapo itatokea familia ikachinja kuku basi baba ndiye mwenye kustahili kula mapaja ya kuku.

Sasa hapa kwangu sielewi wife ananichukuliaje,yani kila kuku akichinjwa basi mimi father house ntalichwa vipapatio na vitoto vyangu viwili vya kiume vyenyewe ndio vinawekewa mapaja.hii kitu wakuu inanishangaza kidogo as iko kinyume na mila na desturi za kiafrica.

Wife yeye kwao walikua ni mambo safi hivyo nadhani hawakua watu wa kujali vitu hivyo vidogo vidogo ndio maana anaona ni sawa tu mimi Baba kula vipapatio.

Wakuu,nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe kuwa siridhishwi na kulishwa vipapatio?
WJEnrP4c_400x400.jpg

Hii ni maajabu
 
Ukishakua baba fahari Yako ni kuona mama na watoto wanaenjoy wanafurahia maisha wanakula vzr Mimi Hata wasingenibakizia msosi mbona fresh tu
 
Wakuu Bwana Yesu asifiwe!

Ebana kuna issue inanitatiza halafu nimeshindwa kuizungumza kwa mhusika ambae ni wife nikaona nitafute kwanza mawazo humu.

Issue nzima iko hivi, ninavyojua kwa mila na ustaarabu wa kiafrika endapo itatokea familia ikachinja kuku basi baba ndiye mwenye kustahili kula mapaja ya kuku.

Sasa hapa kwangu sielewi wife ananichukuliaje,yani kila kuku akichinjwa basi mimi father house ntalichwa vipapatio na vitoto vyangu viwili vya kiume vyenyewe ndio vinawekewa mapaja.hii kitu wakuu inanishangaza kidogo as iko kinyume na mila na desturi za kiafrica.

Wife yeye kwao walikua ni mambo safi hivyo nadhani hawakua watu wa kujali vitu hivyo vidogo vidogo ndio maana anaona ni sawa tu mimi Baba kula vipapatio.

Wakuu,nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe kuwa siridhishwi na kulishwa vipapatio?
Sem mkuu hii ni too much hvo vtu ni personal na familia ako.m-face wife na umuelekez af pia ww ni wakiume kua nakaba kdg coz tunakushauri saw ila pia unatushangaz heb simam Kam baba bc.I'm so sorry
 
Wakuu Bwana Yesu asifiwe!

Ebana kuna issue inanitatiza halafu nimeshindwa kuizungumza kwa mhusika ambae ni wife nikaona nitafute kwanza mawazo humu.

Issue nzima iko hivi, ninavyojua kwa mila na ustaarabu wa kiafrika endapo itatokea familia ikachinja kuku basi baba ndiye mwenye kustahili kula mapaja ya kuku.

Sasa hapa kwangu sielewi wife ananichukuliaje,yani kila kuku akichinjwa basi mimi father house ntalichwa vipapatio na vitoto vyangu viwili vya kiume vyenyewe ndio vinawekewa mapaja.hii kitu wakuu inanishangaza kidogo as iko kinyume na mila na desturi za kiafrica.

Wife yeye kwao walikua ni mambo safi hivyo nadhani hawakua watu wa kujali vitu hivyo vidogo vidogo ndio maana anaona ni sawa tu mimi Baba kula vipapatio.

Wakuu,nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe kuwa siridhishwi na kulishwa vipapatio?
Acha uroho, kwan kuku kwako ni mgeni????
 
Wanaume wa siku hizi wanapenda kulalamika

Duuh👈 nikali sana hiyo kweli dunia inamengi sana mkeo anakupakulia mabaya
baba muhangaikaji hii imenihuzunisha sana mimi.
Mkuu mimi naona mke yuko sahihi kabisa. Tatizo la baadhi ya wa Tanzania bado tunaamini tamaduni za kibabe. Kwani mtoto kula paja la kuku ni kosa? Au mtoto anatakiwa kula shingo na miguu?
 
Mambo ya kushindana na watoto na mapaja ya kuku ni utoto! Waache wale
Halafu mwanaume unakujaje nyumbani haujapitia mahali ukala kitu yako maana wewe ndio jembe la kazi
Unakuja uko NUSU tumbo ukija home unagusagusa tu kilichobaki unawajazia
👏🏻👏🏻
 
Kwa mama mwenye kujielewa atahakikisha mumewe ambae ndie mtafutaji anakula vzr kwanza.
Pia kwa baba anaejielewa atahakikisha watoto wake wanakula vzr.
Yaani baba ataletewa chakula kingi na kizuri, halafu baba mwenye busara atauliza kama watoto wameshiba au atawaita wale pamoja bila kujali walikula kabla au la. Labda hadhi ya mkeo ni kubwa kuliko ya kwako na anaishusha kwa watoto wake kwanza kabla ya wewe mwenye hadhi ya chini kbs! Ni kwann!? Je unawapelekaga watoto nyumbani kwenu? Mkeo anapenda?

Kwa kawaida mama anatakiwa atoe nafasi ya mapenzi ya baba kwa wanawe kwa kukugawia wewe vingi na wewe kugawia watoto.. kama mwanaume afanyavo humpa mwanamke na mke huwapa watoto.
Hicho kipapatio kula pamoja na wanao bila kujali walikula mapaja au la! Kesho atakuongezea
 
Back
Top Bottom