Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Wakuu Bwana Yesu asifiwe!
Ebana kuna issue inanitatiza halafu nimeshindwa kuizungumza kwa mhusika ambae ni wife nikaona nitafute kwanza mawazo humu.
Issue nzima iko hivi, ninavyojua kwa mila na ustaarabu wa kiafrika endapo itatokea familia ikachinja kuku basi baba ndiye mwenye kustahili kula mapaja ya kuku.
Sasa hapa kwangu sielewi wife ananichukuliaje,yani kila kuku akichinjwa basi mimi father house ntalichwa vipapatio na vitoto vyangu viwili vya kiume vyenyewe ndio vinawekewa mapaja.hii kitu wakuu inanishangaza kidogo as iko kinyume na mila na desturi za kiafrica.
Wife yeye kwao walikua ni mambo safi hivyo nadhani hawakua watu wa kujali vitu hivyo vidogo vidogo ndio maana anaona ni sawa tu mimi Baba kula vipapatio.
Wakuu,nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe kuwa siridhishwi na kulishwa vipapatio?
Anataka watoto wale miguu wawe wanariadha.Unataka watoto wale utumbo na miguu ya kuku?
Sem mkuu hii ni too much hvo vtu ni personal na familia ako.m-face wife na umuelekez af pia ww ni wakiume kua nakaba kdg coz tunakushauri saw ila pia unatushangaz heb simam Kam baba bc.I'm so sorryWakuu Bwana Yesu asifiwe!
Ebana kuna issue inanitatiza halafu nimeshindwa kuizungumza kwa mhusika ambae ni wife nikaona nitafute kwanza mawazo humu.
Issue nzima iko hivi, ninavyojua kwa mila na ustaarabu wa kiafrika endapo itatokea familia ikachinja kuku basi baba ndiye mwenye kustahili kula mapaja ya kuku.
Sasa hapa kwangu sielewi wife ananichukuliaje,yani kila kuku akichinjwa basi mimi father house ntalichwa vipapatio na vitoto vyangu viwili vya kiume vyenyewe ndio vinawekewa mapaja.hii kitu wakuu inanishangaza kidogo as iko kinyume na mila na desturi za kiafrica.
Wife yeye kwao walikua ni mambo safi hivyo nadhani hawakua watu wa kujali vitu hivyo vidogo vidogo ndio maana anaona ni sawa tu mimi Baba kula vipapatio.
Wakuu,nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe kuwa siridhishwi na kulishwa vipapatio?
π π π π π π πkomaa kiakili ndugu kwani vipapatio sio kuku
Acha uroho, kwan kuku kwako ni mgeni????Wakuu Bwana Yesu asifiwe!
Ebana kuna issue inanitatiza halafu nimeshindwa kuizungumza kwa mhusika ambae ni wife nikaona nitafute kwanza mawazo humu.
Issue nzima iko hivi, ninavyojua kwa mila na ustaarabu wa kiafrika endapo itatokea familia ikachinja kuku basi baba ndiye mwenye kustahili kula mapaja ya kuku.
Sasa hapa kwangu sielewi wife ananichukuliaje,yani kila kuku akichinjwa basi mimi father house ntalichwa vipapatio na vitoto vyangu viwili vya kiume vyenyewe ndio vinawekewa mapaja.hii kitu wakuu inanishangaza kidogo as iko kinyume na mila na desturi za kiafrica.
Wife yeye kwao walikua ni mambo safi hivyo nadhani hawakua watu wa kujali vitu hivyo vidogo vidogo ndio maana anaona ni sawa tu mimi Baba kula vipapatio.
Wakuu,nitumie mbinu gani kumfikishia ujumbe kuwa siridhishwi na kulishwa vipapatio?
Wanaume wa siku hizi wanapenda kulalamika
Mkuu mimi naona mke yuko sahihi kabisa. Tatizo la baadhi ya wa Tanzania bado tunaamini tamaduni za kibabe. Kwani mtoto kula paja la kuku ni kosa? Au mtoto anatakiwa kula shingo na miguu?Duuhπ nikali sana hiyo kweli dunia inamengi sana mkeo anakupakulia mabaya
baba muhangaikaji hii imenihuzunisha sana mimi.
ππ»ππ»Mambo ya kushindana na watoto na mapaja ya kuku ni utoto! Waache wale
Halafu mwanaume unakujaje nyumbani haujapitia mahali ukala kitu yako maana wewe ndio jembe la kazi
Unakuja uko NUSU tumbo ukija home unagusagusa tu kilichobaki unawajazia
π π π πNani alieleta kuku?