Tukipika kuku nyumbani, mimi nalishwa vipapatio, vitoto vyangu vya umri wa miaka 5 na 8 ndio vinalishwa mapaja. Je, hii ni sahihi wakuu?

Sawa usichinje kuku Tena na ukijisikia kula kuku hiyo pesa yote nunua vipapatilo (VIMBAWA) usimsemeshe ktk Hilo utafukua makaburi hopo
 
Ni sahihi kwasababu hununui wewe na ndiyo maana huheshimiki, swali fikirishi je mgodi unachimba km kawa?
 
Mapaja ya kuku si yakupatia hawa majobless, Uji na tambi tosha wakue wakajitafutie vyao 😂😂

 
Kimila anakosea ila kisayansi wanao wanahitaji protein nyingi kuliko ww

Ila mwambie mkeo aende unyago
 
Haha faza house kwani kuna shido usipokula paja!! Huujui utamu wa chicken wings aisee. Nambari one fav kwenye kuku ni wings, maini, miguu na breast.
Depal hao kuku wenye breast ni wa nchi gani??

Usitake kuniambia kuna kuku wananyonyesha??
 
Hao watoto siyo wako.
Ukitaka AMANI WAFUKUZE WOTE NA MAMA YAO.
UKITAKA PRESSURE KAPIME DNA.
 
Unatakiwa ule ugali wa udaga na furu wiki mbili mfululizo kama dozi ili akili ikukae sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…