tujadiliane sio conclusive statement, Well kwangu navyoona and i am open to be criticised / kuelimishwa ni kwamba :
Huwa nashangaa sana nikiona baadhi (sio wote) waliofunga ramadan wakilalamika swaumu imetaiti (njaa), nina uhakika hawa wanaolalamika (baadhi) hawawezi kutoboa mfungo wa kikristo.
Funga ya mkristo akila saa moja jioni ni mpaka kesho tena saa moja jioni hakuna kunywa maji wala kula, na hata mle hadharani wala hapagawi au kulalamika mnamuingiza tamaa, yani mtu hajala tangu jana lakini haonyeshi dalili yoyote ya kulegea, ndio maana inakuwa ngumu sana kujua kafunga.
Upande wa pili ratiba ya kula kuna ftari ya saa moja, unatupia tena mida ya saa nne kabla ya kulala kisha alarm inategwa kuwahi kuamka saa kumi alfajiri kula daku. ni kama vile ratiba ya lunch inahamia alfajiri na ratiba ya chai kabla ya kulala, cha kushangaza baadhi yao hata wakiona mtu anakula hadharani tayari kuna roho ya kutamani inaingia utasikia wakilalamika "huoni aibu kula hadharani", "unahtuharibia swaumu", n.k. Zanzibar wameenda mbali zaidi ukikutwa unashushiwa kipigo.