- Thread starter
- #41
SINA UPANDE HIVYO MIMI SIO MDINIHakuna haja ya kupigwa ban, ila tutasema wazi wewe ni mdini. Unapenda sana kuwachokoza waislam na uislam sijui walikufanya nini?!
Huwa nakuona kwenye mada nyingi; mara uislam hivi mara vile!
Usijipe umuhimu kwa mambo ambayo hayakuhusu! Kama unachuki nao kufa na chuki yako hivyo hivyo!
ni mpaka nikosoe upande wako ndio naonekana mdini ? Kuna post kibao tu nawapongeza waislam, hii ni mojawapo
Nimezisoma sheria za urithi katika Uislam, nikiri kwamba zipo kwa haki
Kwa mujibu wa Sheria ya Kiislam mgawanyo wa urithi uko kama ifuatavyo: Wajane hurithi 1/8, Wengi huendelea kutunzwa na watoto wao na nimeona kwa huu mgao unalinda wasiwe na tamaa za kutaka mwanaume afe ilinwapate mali, k Wazazi - Wazazi hupewa 1/6 ya salio baada ya kuondoa fungu la...