- Thread starter
- #21
Sio storyHakuna kitu kama hicho mkuu hizo story za kutishana tu
kosa linaitwa apostasy
Hukumu ni KIFO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio storyHakuna kitu kama hicho mkuu hizo story za kutishana tu
Sasa wewe inakuuma nini? Si uwaache watu na dini yao?!Anaruhusiwa kuhama dini, kuna uhuru wa kiimani kuhamia dini yoyote na anaweza kurejea kwa uhuru,
shida inakuja ikiwa vice versa, nchi kama Saudia wanakuua
Huyu jamaa hujamjua, ni mdini dini sana! Wewe jaribu kupitia nyuzi tofauti tofauti utamuona tu!Hakuna kitu kama hicho mkuu hizo story za kutishana tu
kwanini umuue mtu ambae kachaguliwa dini akiwa mtoto asiejitambua na anatka kubadili dini akijitambua ?Sasa wewe inakuuma nini? Si uwaache watu na dini yao?!
Kinachokuuma ni nini? Hebu tuambie!
Tena hapo umeruka, kuna mtu akipiga ftari ya saa moja kasoro anakuja kupiga tena msosi saa nne usiku anavyoenda kulala halafu anaamka na saa kumi alfajiri kufunga kazi anapiga daku sasa 😂😂😂😂Huwa nashangaa sana nikiona baadhi (sio wote) waliofunga ramadan wakilalamika swaumu imetaiti (njaa), nina uhakika hawa wanaolalamika (baadhi) hawawezi kutoboa mfungo wa kikristo....
Sawa! Wewe kinachokuuma ni nini? Wewe siyo muislam, wewe ni mkristo! Kinachokuuma ni nini? Mambo ya waislam wewe yanakuhusu nini?
Wewe na mwenzako incharge mlidhani hayo mambo ya kuua wanaobadili dini hayapo ila nimewafungua macho, angalau sema asante nimekutoa gizani.Sawa! Wewe kinachokuuma ni nini? Wewe siyo muislam, wewe ni mkristo! Kinachokuuma ni nini? Mambo ya waislam wewe yanakuhusu nini?
Wapi wameuliwa?kwanini umuue mtu ambae kachaguliwa dini akiwa mtoto asiejitambua na anatka kubadili dini akijitambua ?
Ulianza kujibu kwa kusem hayo mambo hayapo kisha nikakufungua macho, angalau sema asante.
Watu wasio na hatia kwanini wauwawe kwa kubadili dini ?
mtu kaamua abadili dini huyo sio muislam tena ni lazima apewe haki yake
Hata waislam ni hivyo hivyo, yani ngoma ni droo.Embu tuonyeshe mkristo mmoja tu anayefunga hivyo? Mnavyopenda kula tangu lini mkafunga wenyewe mnajijua kama dini imeshawapita pembeni dunia mmeiweka mbele kiufupi 99% ya wakristo hawafungi funga yao ni kula ila usishibe, ndio maana hata hiyo kwaresma haieshimiwi duniani kote kwasababu hawafungi
Tanzania hakuwezi kuwa na hayo mambo, majority ya population sio imani zenye hizo itikadi.Wapi wameuliwa?
Kama hayo yangelikuwa mafundisho ya dini ya uislam mpaka muda huu wewe Tanzania usingelikuwepo!
Wewe pamoja na wazazi wako! Tena hata wazazi wako wasingelikuzaa kwa sababu wangelikuwa wameshakatwa kichwa.
Sasa mbona upo hai? Waislamu wameacha mafundisho yao?
... kutembea kichwa chini miguu juu nako ni rahisi tuu! ... SI NI KUBADILI TU POSE!!!?Huwa nashangaa sana nikiona baadhi (sio wote) waliofunga ramadan wakilalamika swaumu imetaiti (njaa), nina uhakika hawa wanaolalamika (baadhi) hawawezi kutoboa mfungo wa kikristo...

Nimewapa vuguvugu, nikikazia kama wewe watasema nina chuki nipigwe ban😂Tena hapo umeruka, kuna mtu akipiga ftari ya saa moja kasoro anakuja kupiga tena msosi saa nne usiku anavyoenda kulala halafu anaamka na saa kumi alfajiri kufunga kazi anapiga daku sasa 😂😂😂😂
Zanzibar kuna mengi yananishangaza wakati wa mwezi wa Ramadhan. Hilo ni moja katika makumi.Hii ni sawa, Zanzibar tu jtano nilikuwa huko,kila kitu kimefungwa na kuna maeneo hata maji huuziwi,jambo ambalo si sahihi maana kuna wagonjwa, wajawazito, watoto wadogo etc. Tukiheshimiana kila kitu kitakuwa rahisi tu
Hata kama ukiniambia hivyo wewe kinachokuhusu ni nini?Tanzania hakuwezi kuwa na hayo mambo, majority ya population sio imani zenye hizo itikadi.
Achana na nchi kama Pakistan, Sudi Arabia, Iraq, zenye 80%+ majority za wenye hizo imani, Nenda hapo Nigeria wenye dominace 51% ubadili dini utakiona cha mtemakuni
Mbona upo tofauti na wenzio. Mimi kuna mkiristo kasema funga ya kikristo ni kufunga jambo unalolopenda sana mfano unapenda nyama choma, unaamua kutokula nyama choma mfungo mzimaHuwa nashangaa sana nikiona baadhi (sio wote) waliofunga ramadan wakilalamika swaumu imetaiti (njaa), nina uhakika hawa wanaolalamika (baadhi) hawawezi kutoboa mfungo wa kikristo...
Mfumo unamhusu vipi mtu alietoka kwenye mfumo kuhamia mfumo mwengine ?Hata kama ukiniambia hivyo wewe kinachokuhusu ni nini?
Si mfumo wao wa maisha ndiyo wamechagua kuishi nao?
Wewe kinachokuhusu ni nini?
Hakuna haja ya kupigwa ban, ila tutasema wazi wewe ni mdini. Unapenda sana kuwachokoza waislam na uislam sijui walikufanya nini?!Nimewapa vuguvugu, nikikazia kama wewe watasema nina chuki nipigwe ban😂
Bro! Labda huyo jamaa humjui!Mbona upo tofauti na wenzio.Mim kuna mkiristo kasema funga ya kikristo ni kufunga jambo unalolopenda sana mfano unapenda nyama choma,unaamua kutokula nyama choma mfungo mzima