mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Hakuna anayeumia mkifunga infact tunashangaa,na ndicho alicholeta mtoa mada.Cha ajabu tukifunga sisi waislamu mayeumia na kuona wivu ni nyie wakristo ajabu iliyoje embu angalia mnavyotuhusudu hadi huyu mlimbwende kashindwa kujizuia
Unajua nyinyi huwa mna ujinga mmoja,mnataka kusifiwa kwa kila jambo,na ole wake anayekosoa basi anaona wivu ama ana chuki na uislam.
Ktk ukristo tumeambiwa imani bila matendo ni utumbo tu,wewe ni mbora katika nidhamu unaposali msikitini au unapofika mwezi wa ramadhani lakini ni kweli unamjua Mungu au unafanya kwa ajili ya waislam???
Leo hii hapa duniani hakuna jamii ngumu kuishi nayo kama ile yenye waislam,hata waislam wenyewe kwa wenyewe ni kipengere kukaa pamoja😀😀.