Tukisema mfungo wa Ramadhan ni mwepesi na ni kubadili ratiba ya kula tunakosea?

Tukisema mfungo wa Ramadhan ni mwepesi na ni kubadili ratiba ya kula tunakosea?

Shida ni muda wa kufunga au idadi ya milo maana kuna nchi za scandnavia watu wanafunga kuanzia saa 10 alfajiri hadi saa 3 usiku takriban masaa takriban masaa 17 had 18
 
Matusi aliyaanza Mtume Mudy, mimi ni Mgalatia tu niliyejifunza kwake
Funga yangu inanikataza kutukana je vipi kwako ewee kufar funga yako ya kwaresma imekuruhusu kutukana kama ulivyonituka? Au imekuruhusu kutukana ila uweke ** kumuhadaa mungu wako asijue kama ulitukana ?
 
Kitabu Cha kweli Cha Mungu asiyepiganiwa na wanadamu Biblia takatifu inaeleza vizuri kuhusu kufunga hii hapa Kwa ufupi.
Mathayo 6:16
Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao.

Mathayo 6:17
Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso;

Mathayo 6:18
ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
 
Kwani wagalatia huwa mnafata maandiko ya biblia? Nyie si huwa mnafata ya kwenu dini imepita pembeni? Mngekua mnafata maandiko mngeanza na hii

Walawi (11:7-8)
Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao”
Nyie mnaona nguruwe TU,angekuwa si kiumbe Mungu anachokitaka asingekiumba.Vipi kuhusu matunguri mbona husemi?
 
Siyo kwamba tunawaonea wivu waislam? Maana wao wanaheshimu funga yao kuliko sisi wakristo ambao huwa hatufungi kabisa tunaenda kupaka majivu tu.

Aliejitahidi sana kufunga anachagua kufunga kula kitu kimoja anakwambia kafunga kula kachori.
Duuh!!! Waislamu wanafunga kwa hiyari au wanalazimishwa.
Hakuna mtu wa kumuonea wivu muislam labda wewe.
Unaposema unafunga makande kama mfungo moyoni unajua unafunga boshen tu bora uache.
 
Duuh!!! Waislamu wanafunga kwa hiyari au wanalazimishwa.
Hakuna mtu wa kumuonea wivu muislam labda wewe.
Unaposema unafunga makande kama mfungo moyoni unajua unafunga boshen tu bora uache.
Sisi waislam hatuna hiyari katika maelekezo ya mwenyezi Mungu akisema tufunge tunafunga wenye hiyari kwa maneno ya mnaemuabudu ni nyie wagalatia ambao mmekatazwa kula nguruwe katika biblia ila mnaendelea kula tena kwa kujisifu.
 
Ramadhan ni ngumu na siyo nyepesi kama kwaresma yetu
Sisi waislam hatuna hiyari katika maelekezo ya mwenyezi Mungu akisema tufunge tunafunga wenye hiyari kwa maneno ya mnaemuabudu ni nyie wagalatia ambao mmekatazwa kula nguruwe katika biblia ila mnaendelea kula tena kwa kujisifu.
Mkuu wewe ni dini gani!?
Post ya kwanza ulikuwa mkristo ya sasa muislam
 
Sisi waislam hatuna hiyari katika maelekezo ya mwenyezi Mungu akisema tufunge tunafunga wenye hiyari kwa maneno ya mnaemuabudu ni nyie wagalatia ambao mmekatazwa kula nguruwe katika biblia ila mnaendelea kula tena kwa kujisifu.
Tofauti ya wakristo na waislamu, waislamu mko very emotional ndio maana mnachinjana nyie kwa nyie nyie kwa makafiri kama mnavyodai.
Wakristo tuko very rational ndio maana hata tunavumiliana na kila mtu.
Kuhusu nguruwe hata masheikh wako wanao kuswalisha na kukuombea dua na watakao kuzika tuna kula nao kitimoto tofauti ni kwamba hawali tu hadharani kama sisi.
 
Ndiyo nilikua mgalatia nikatoka katika kufuru nikaingia katika uislam
Masaa machache yaliyopita ulikuwa mgalatia dakika chache mbele muislamu.
Ndio maana nimeshangaa comment ya kipumbavu kabisa kuwahi kuiona hata mkristo layman hawezi kuitoa kumbe ni ya sheikh ubwabwa
 
Masaa machache yaliyopita ulikuwa mgalatia dakika chache mbele muislamu.
Ndio maana nimeshangaa comment ya kipumbavu kabisa kuwahi kuiona hata mkristo layman hawezi kuitoa kumbe ni ya sheikh ubwabwa
Post nyingi sana anasema ni mkristo ila yuko bize kuutukana na kashfu ukristo
Ni mnafki sana na sijui anapata faida gani
 
Masaa machache yaliyopita ulikuwa mgalatia dakika chache mbele muislamu.
Ndio maana nimeshangaa comment ya kipumbavu kabisa kuwahi kuiona hata mkristo layman hawezi kuitoa kumbe ni ya sheikh ubwabwa
Kwani sisi wagalatia yupo ambae siyo layman?
 
Back
Top Bottom