Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Wewe huna uelewa ama hujui kusoma kama Mtume Mwamedi wa Mecca? Nimesema mimi sifungi kwa msimu kama ninyi mfungao zipu kipindi hiki na kufungulia wakati wa Ramadhan kuishaNdiyo naamka kula msosi saa 10 na ninapata thawabu kwa kuamka kula muda huo.
Na wewe vipi kwaresma hii umefunga kula nini? makande au magimbi?
Mimi ninafunga kweli kweli siku nikiwa na mahitaji na Maombi kwa Muumba...sifungi kama fashion kubadilisha muda wa kula tu
Una uelewa ewe Bin Mudy?