Tukisema mfungo wa Ramadhan ni mwepesi na ni kubadili ratiba ya kula tunakosea?

Ndiyo naamka kula msosi saa 10 na ninapata thawabu kwa kuamka kula muda huo.

Na wewe vipi kwaresma hii umefunga kula nini? makande au magimbi?
Wewe huna uelewa ama hujui kusoma kama Mtume Mwamedi wa Mecca? Nimesema mimi sifungi kwa msimu kama ninyi mfungao zipu kipindi hiki na kufungulia wakati wa Ramadhan kuisha

Mimi ninafunga kweli kweli siku nikiwa na mahitaji na Maombi kwa Muumba...sifungi kama fashion kubadilisha muda wa kula tu

Una uelewa ewe Bin Mudy?
 
🤣🤣Unakula kiwiziwiz Kama tola siyo?
Saa 9 usiku unafakamia mihogo,mahimbi,uji wa pilipili manga na jagi kuubwa la maji ya kandoroh🤣🤣aibu naona mie.
 
Vizuri kwa kukiri huwa haufungi hadi uwe kwenye siku zako, sasa katika uislam kufunga ni ibada ni lazima kufunga kwa kila muislam mwenye afya kwakua ni haki ya mwenyezi Mungu kuabudiwa na sisi tunatekeleza ibada.

Wagalatia Dini yenu imewapitia kushoto na kwa ulafi mmeshindwa kufunga hata kwa saa moja mnasema funga yenu ni kula ila usishibe au unapumzika kunywa chai ya sukari au kula chakula kimoja.
Hapo hamna funga mzee
 
Kwaresma ya mwaka huu umefunga nini bro? Umefunga kunywa chai ya sukari au ugali wa mtama?
 
Sasa kuna Binadamu Mlafi kama anayedamka usiku wa manane na kufakamia chakula 🤣🤣🤣

Hivi mnatoa wapi Appetite?

Ninyi wanawake wa kiislam si hata mkiwa katika bleed hamfiki Masjid?

Wewe ni kama Mwajuma t*ako bovu wa Magomeni mapipa...wamjua?
 
Mbona umereact hivyo?
Leo huna uhakika wa futari jion?
Usiwazee utawah pale kwenye Banda mnaloita masjiid ukanywe uji chumvi wa bureeh
 
Nguruwe hahitaj appetite anakula muda wowote na chochote🤣🤣
 
Vizuri kwa kukiri huwa haufungi hadi uwe kwenye siku zako, sasa katika uislam kufunga ni ibada ni lazima kufunga kwa kila muislam mwenye afya kwakua ni haki ya mwenyezi Mungu kuabudiwa na sisi tunatekeleza ibada.

Wagalatia Dini yenu imewapitia kushoto na kwa ulafi mmeshindwa kufunga hata kwa saa moja mnasema funga yenu ni kula ila usishibe au unapumzika kunywa chai ya sukari au kula chakula kimoja.
Hapo hamna funga mzee
Lucha kwenye one and two. Hilo ulilosema limeandikwa wapi?
 
Mbona umereact hivyo?
Leo huna uhakika wa futari jion?
Usiwazee utawah pale kwenye Banda mnaloita masjiid ukanywe uji chumvi wa bureeh
Uhakika wa futari upo msikitini kuna futari ya bure.
Wewe nijibu kwaresma ya mwaka huu umefunga kula nini? Umefunga kula Makande au uji wa ulezi?
 
tujadiliane sio conclusive statement, Well kwangu navyoona and i am open to be criticised / kuelimishwa ni kwamba :

Huwa nashangaa sana nikiona baadhi (sio wote) waliofunga ramadan wakilalamika swaumu imetaiti (njaa), nina uhakika hawa wanaolalamika (baadhi) hawawezi kutoboa mfungo wa kikristo.

Funga ya mkristo akila saa moja jioni ni mpaka kesho tena saa moja jioni hakuna kunywa maji wala kula, na hata mle hadharani wala hapagawi au kulalamika mnamuingiza tamaa.

Upande wa pili ukila saa moja jioni unaweza kutupia tena mida ya saa nne flani hivi kabla hujalala, hapo bado tena kuna daku la saa kumi alfajiri, ni kama vile ratiba ya lunch inahamia alfajiri na ratiba ya chai kabla ya kulala, cha kushangaza baadhi yao hata wakipiga daku lakini bado wakiona mtu anakula hadharani tayari kuna roho ya kutamani inaingia utasikia wakilalamika "huoni aibu kula hadharani", Zanzibar wameenda mbali zaidi ukikutwa unashushiwa kipigo.
Sawa wewe nenda Nyumba zenu za Ibada leo Jumapili ukaangalie vimini vilivyo valiwa na wengine sasa wanavaa suluari kabisa ilhali ni wanawake na wanaingia Nyumba ya Ibada,ikiwa Imani yao inasema Yesu anaangalia Imani yako na wala si mwili wako, Ilhali Mama yetu Mariam mama alie barikiwa kuliko wanawake wote hakuwa hivyo kabisa.
 
Sasa kuna Binadamu Mlafi kama anayedamka usiku wa manane na kufakamia chakula 🤣🤣🤣

Hivi mnatoa wapi Appetite?

Ninyi wanawake wa kiislam si hata mkiwa katika bleed hamfiki Masjid?

Wewe ni kama Mwajuma t*ako bovu wa Magomeni mapipa...wamjua?
Naona umeanza kutukana mgalatia ambae huna akili hata dhambi zako unaenda kumwambia kiongozi wa dini ndo akusamehe.
 
Uhakika wa futari upo msikitini kuna futari ya bure.
Wewe nijibu kwaresma ya mwaka huu umefunga kula nini? Umefunga kula Makande au uji wa ulezi?
Hamfungi mnabadilisha muda wa kupiga msosi....mwaamka usiku mzito mwala Magimbi, tambi, maharage ya sukari, viazi n.k...na mwajamba mpaka asubuhi

Wallah mfungo huo haupendi Mtume Mwamedi
 
Kwamba mpaka ushinde njaa ndio mungu muweza wa yote mwenye upendo ndo asikilize dua zako au maombi yako?
 
Naona umeanza kutukana mgalatia ambae huna akili hata dhambi zako unaenda kumwambia kiongozi wa dini ndo akusamehe.
Matusi aliyaanza Mtume Mudy, mimi ni Mgalatia tu niliyejifunza kwake
 
Embu tuonyeshe mkristo mmoja tu anayefunga hivyo? Mnavyopenda kula tangu lini mkafunga wenyewe mnajijua kama dini imeshawapita pembeni dunia mmeiweka mbele kiufupi 99% ya wakristo hawafungi funga yao ni kula ila usishibe, ndio maana hata hiyo kwaresma haieshimiwi duniani kote kwasababu hawafungi
Sasa waislamu hawa wanafunga au kubadili ratiba ya kula tyuuh? Kwaresma haiheshimiwi na nani? Au unataka na Christians waanze kufurusha wanaokula hadharan ndo iwepo heshima? Poleeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
tujadiliane sio conclusive statement, Well kwangu navyoona and i am open to be criticised / kuelimishwa ni kwamba :

Huwa nashangaa sana nikiona baadhi (sio wote) waliofunga ramadan wakilalamika swaumu imetaiti (njaa), nina uhakika hawa wanaolalamika (baadhi) hawawezi kutoboa mfungo wa kikristo.

Funga ya mkristo akila saa moja jioni ni mpaka kesho tena saa moja jioni hakuna kunywa maji wala kula, na hata mle hadharani wala hapagawi au kulalamika mnamuingiza tamaa.

Upande wa pili ukila saa moja jioni unaweza kutupia tena mida ya saa nne flani hivi kabla hujalala, hapo bado tena kuna daku la saa kumi alfajiri, ni kama vile ratiba ya lunch inahamia alfajiri na ratiba ya chai kabla ya kulala, cha kushangaza baadhi yao hata wakipiga daku lakini bado wakiona mtu anakula hadharani tayari kuna roho ya kutamani inaingia utasikia wakilalamika "huoni aibu kula hadharani", Zanzibar wameenda mbali zaidi ukikutwa unashushiwa kipigo.
Wakiona unakula wao wamefunga wanalalamika Sana eti unawaharibia swaumu, juzi Kuna jamaa alipost picha ya chakula kipindi hiki cha mfungo, wakaanza kumsema, imagine
 
Lucha kwenye one and two. Hilo ulilosema limeandikwa wapi?
Kwani wagalatia huwa mnafata maandiko ya biblia? Nyie si huwa mnafata ya kwenu dini imepita pembeni? Mngekua mnafata maandiko mngeanza na hii

Walawi (11:7-8)
Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao”
 
Back
Top Bottom