Tukisema mfungo wa Ramadhan ni mwepesi na ni kubadili ratiba ya kula tunakosea?

siku = masaa 24
Nimekueleza kuwa funga yetu ummah wa Mtume muhammad ni tofauti na funga walizofaradhishiwa Mitume ya wana wa Israel. Mfano ni hiyo funga ya Mtume Daud a.s

Ila cha ajabu mbona hushangai funga za wayahudi zilivyotofauti na funga zenu wakristo? Japo wote mnadai kuifuata torati ya Musa?

Au nani kati yenu wakristo anayefunga funga ya siku 40 mnayodai aliifunga Yesu?
 
Mtoa mada naona roho inakuuma sana funga ya Ramadhani inavyoheshimiwa duniani, pole sana umeongea upuuzi upuuzi tu wala hauna maana yoyote.

Sisi ndo tunaishi na Wakristo mitaani tunawajua,katika wakristo 20 anaefunga kweli unakuta 1 tu mi nna washkaji zangu wakaribu 9 na hakuna hata mmoja anaefunga. Kwaresma imefeli na Ramadhani imefaulu kiimani
 
Mimi kinachonishangaza ni vyakula kupanda bei maana yake wanakula sana mwezi huu.
 
Reactions: 511
Pole sana
 
Huna hoja yoyote ni chuki tu huna hoja hata moja!!! Na Ramadhani hua inawauma sana dunia hua inasimama
 
Kufunga si mashindano ya kidini.
 
Shida ya wanafiki ndo hiyo kujidai kujua mpka nafsi za watu... Mi nakwambia wapo wengi sana wanafunga mpka 7 kavu, unanibishia. Watu wanafunga na kuheshimu mfungo sana na wakifunga hawasimami kwenye panda za njia kujisemesha wamefunga wala kupausha na kunuka midomo kwa swaum..... Na ni Dunia gani unayoisemea labda ya uarabuni maana niliko hata sherehe za kiislamu hazitambuliki sembuse mfungo?? 😂😂😂Acha kudanganya watu, na sikukuu za kikristo zimeboldiwa kwa kaenda na zinaheshimika sana hata maduka hufungwa.
 
Holidays sawa zinajulikana nje kwa sababu ndio waliozitunga ila swala la kuheshimu dini kama kufunga kwaresma hakuna mzungu au hata muafrika anayefunga hata kuitilia maanani dunia nzima ipo hivyo acha ubishi usiyokuwa na kichwa wala miguu,

Na unavyoonyesa hata shule hujaenda hujui kwanini mtu akifunga ananuka mdomo soma hapo chini scientific reason ya kwa nini mtu akifunga mdomo unatoa harufu, na hii inadhihirisha huwa hufungi

Haya pokea na salamu za ramadhani kutoka kwa biden
 

Attachments

  • Screenshot_20240313-105612_Instagram.jpg
    487.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240325-083714_Chrome.jpg
    120.2 KB · Views: 2
Kwahiyo wewe ni mwarabu?kisa unafata utamaduni wa kiarabu
Hayo maandiko Wala hayawahusu wakristo

Hapo Yesu alipokuwa anaongea hayo kulikuwa hakuna mkristo hata mmoja

Yesu amezaliwa amekuta Wana waisrael wanafunga tokea enzi na enzi na ndio anaoongea nao hapo

Na kama hayo mandiko yanakuhu wewe mkristo tuambie wewe unafunga vipi ?

Masaa 12
Masaa 24
Wiki mzima
Mwezi mzima
Siku 40


Muache kudanganyana hayo maswali uliyoulizwa na jibu ulilotoa ni tofauti kabisa inathibisha kuwa wakristo hamjui mfunge vipi


Kama hayo maswali angeulizwa Muislam majibu haya hapa


Quran 2:185
- Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi. Basi ataye kuwa mjini katika mwezi huu naafunge. Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini, basi atimize hisabu katika siku nyengine. Mwenyezi Mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hisabu, na mumtukuze Mwenyezi Mungu kwa kuwa amekuongoeni ili mpate kushukuru.

Quran 2:187
- Mmehalalishiwa usiku wa Saumu kuingiliana na wake zenu. Wao ni vazi kwenu, na nyinyi ni vazi kwao. Mwenyezi Mungu anajua kwamba mlikuwa mkizikhini nafsi zenu. Kwa hivyo amekukubalieni toba yenu na amekusameheni. Basi sasa changanyikeni nao na takeni aliyo kuandikieni Mwenyezi Mungu. Na kuleni na kunyweni mpaka ubainike kwenu weupe wa alfajiri katika weusi wa usiku. Kisha timizeni Saumu mpaka usiku.
 
 
Yuko wapi Execute Citizen B Championship Maghayo na wengine ambao walikuwa na kazi Moja tu kukashifu Uislamu sasa wapo wapi ? halafu Wagalatia mtindo huo wamechukulia kama fasheni ya kutaka umaarufu hapa Jf.
Jifunze kiswahili.
Kukashifu ni kuzusha kashfa zisizo za kweli.
Mimi nilikuwa nafanya kuonyesha uchafu unaofichwa wala sio kuzusha kitu chochote...maana Kila nilílosema nilikuwa naweka ushahidi kutoka kwenye vitabu vyenu
 
Ramadhani si kufunga tu ,na kama unaona ni rahisi basi karibu nawe uanze japo hizi siku 4 zilizobaki kisha utarejea hapa kuwaambia wenzio utakachokutana nacho.
Funga kisha Futari
Kisha pumzika kidogo swali sala ya Isha saa 2 usiku baada ya hapo lala kidogo amka saa sita usiku simama kwa ajili ya Ibada za Ramadhani mpaka saa 10 kula daku kisha swali Swala ya Fajri kisha jiandae kwenda job na ukainjoi kama unavyodhani wanafaidi Muslims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…