Tukisema ndoa zimekosa mvuto na thamani mnakataa na kutuuliza "umeoa"?


Haha..! Sasa mtu kachakatwa kuna la kujadili tena hapo.?
 
Acheni kudaganya na kujifariji kuhusu ndoa kwa kushindwa ku handle Mambo yenu na kusingizia eti ndoa sio muhimu Karne hii.

Umeolewa ?? Then what’s the difference ukiwa single na sasa ukiacha kuwa una hakika wa kuchakatwa usiku ??
 
Umeolewa ?? Then what’s the difference ukiwa single na sasa ukiacha kuwa una hakika wa kuchakatwa usiku ??
There is big difference Kati ya kuwa single na kuolewa mzee baba, nyie wavulana humu mnadaganyana sasa kwenye nyuzi humu, jf wengi Wana wake na familia zao ila behind fake I'd wanawadaganya wavulana nao wanaingia mkenge, tangu enzi kuchepuka kulikuwepo na hakutakuja kuisha kikubwa forgive and forget unafikiria babako hajawahi kuchepuka nakufumwa na mamako na kusamehewa, acheni kudaganya humu na kubeba juu juu utakuja juta uzeeni ukiwa mwenyewe family ni muhimu mno.
 
Haha..! Sasa mtu kachakatwa kuna la kujadili tena hapo.?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndoa ngumu ukiona mtu kadumu katika ndoa kwa Zaid ya miaka 5 mheshimu Sana kavumilia meng Sana humo ndani hv viumbe vya kike vione hivhv TU vina mambo meng Sana ndani ya ndoa aiseee usipokuwa na akili timamu utaacha Kila mwanamke na usifanikiwe kwa lolote kuhusu maisha ya ndoa.

Mrekebishe ulie nae mpe thamani,mheshimu neno samahani,neno ahsanteeee na kupotezea mambo madogo yasio na afya katika mahusiano yetu hutokaa kujutia katika maisha yako

NB: Hakuna kitu rasm wanawake wanachohtaji katika ndoa utapiga mashine lakin ukikosa pesa atachepuka TU jutahd kadri ya uwezavyo vile vitu vya msingi avipate kwa wakati

Acha kabisa kumshirikisha mkeo kwa rafiki zako mazoea ya rafiki zako kuja kwako pasina mawasiliano ,acha kwenda mtoko wa Mara kwa Mara ukiwa na mkeo na group la rafiki zako Kuna siku utakuja nishukuru
 

Luck enough I am not married and not thinking or planning to get married. Hiyo, Ya mwisho naielewa sana ila yote kwa yote mimi sitaki mambo ya kuambiwa hadi kifo kiwatenganishe…! I don’t like it all
 
Luck enough I am not married and not thinking or planning to get married. Hiyo, Ya mwisho naielewa sana ila yote kwa yote mimi sitaki mambo ya kuambiwa hadi kifo kiwatenganishe…! I don’t like it all
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama mkristo itakuhusu TU na ndoa hzo kuvunjwa kwake Ni ngumu Sana kuwe na sababu za mashiko Sana Tena Zaid ya Sana
 

Do you think family ni Mpaka umeoa au niaje ?? Sijafanganywa na mtu yoyote wala nini..! That’s all I know, so kumbe ndoa ni kazi gani kama kuna kuchepuka na kuumizana ?? Kwamba watu wavumilie maumivu si ndio ?
Mzee alichepuka sana and from there I started to think I can just live my life without being tied lawfully to someone ambaye anakosea.
It’s simple, watu mnaolewa ili mpate nini labda ??
Do you think kuwa na familia ni lazima uwe umeoa au kuolewa ?? Mennnn, Kuna watu wanaishi kwa amani tu bila kuwa na Mke au mume ndani. Ana watoto wake anaishi nao kwa amani. Msituaminishe familia ni mpaka mtu aolewe au kuoa.
 
Kwani brother familia ni nini????
 
Ndoa Ni malez ulio zaliwa nayo na kukulia nayo Kama ulikuta family iko hovyo ya wazee wako na hakika hata yako itakuwa hovyo pia

Kila kitu tunacho kifanya leo kilishafanywa teyar Ni copy and paste Sasa inategemea una copy wapi hapo ndio tatizo linapoonzia

Kuchepuka au kuto kuchepuka hyo Ni hulka ya mtu na mtu
 
Hilo kwapa la bibi harusi kwa picha unahakikisha unamshughulisha vya kutosha kisha likitema kijasho chembamba flani hivi unapitisha pua lako na ulimi unalamba weeee, kuna mate fulani hivi mazito huwa yanatokea mdomoni yanakuwa yanateleza balaaa.

Sasa unayatumia kupigia deki, kudadadeq kama mtaalamu unaweza sababisha mama mchungaji akukabidhi sadaka zooote za siku ya ibada
 
Kaka kwani leo umekula nini?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
naiyona fursa katika haya (ushauri katika ndoa) mazingira na kuna fedha nyingi katika biashara hii japo changamoto ni aina ya malipo ambayo wateja wanataka kulipa ndo mtihani.
nimejaribu kufanya na wadada wengi lakini mwisho wa siku anataka mechi kama tatu hivi zimenipiga.
 
Kwako ndoa ni kutiana tu??
Ndio maana mnadanganyana viujinga ujinga.

Haha.. Welcome Mrs Salt. Let’s put joke aside, What else is there Ukishaolewa ? Vitu gani ambavyo wewe uliyeolewa unavipata yule wa Nje ambaye hana Mume na ana mtoto kabla hujaendelea kutubwatukia hapa. Lol, eti Ujinga ujinga.
 
Kwani brother familia ni nini????

Familia ni kuwa na watu ambao watakuwa nawewe when no body is there still.! Familia ni zaidi ya kuwa na mwanamke au mwanaume. Ninapokuwa na watoto wangu ambao nawahudumia na ndugu zangu ambao wananijali hiyo ndio familia yangu sio Kwamba hali ya kuwa na Mke au Mume ..!
 
Hizo fact zako zimekaa kiwivu wivu flan hvi alafu na kitoto sana.

Sie watu wazima tunasema kuchapiwa ni siri ya ndani mzee

Sema vyote lkn ndoa inaleta heshima, Ndoa inakuza akili na kipato, Ndoa nzuri, Ndoaa taamuuuu mzeeee!!!!!

Hizo sabab zako mkajadiliane na wahuni wenzio kwenye vijiwe vyenu vya kamari.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…