Tukisema ndoa zimekosa mvuto na thamani mnakataa na kutuuliza "umeoa"?

Tukisema ndoa zimekosa mvuto na thamani mnakataa na kutuuliza "umeoa"?

Sijaona tusi Mkuu kuwa na amanibtu, umendika mawazo yako na si ya mtu. Ila ndo nakuambia kuwa Mlioko kwenye ndoa mnasababisha damage kubwa sana huku mtaani.
Wanawake walioko kwenye ndoa ndio hao wanahangaika na vibenten kila kukicha na wanaume nao wanahangaika na wasichana. Kama ni mafanikio kila mtu anaweza kufanikiwa kinachobaki ni Mungu amenadika nini kwenye maisha yako.
Work hard, discipline and Devine favor = Success.
Eti ukioa kuna mafanikio ?? Hahaha wote walioa wangekuwa wamefanikiwa, Mafanikio my foot
Binafsi sijasema ndoa inamafanikio ila nnachokuomba jaribu kuchunguza kwa making watu walio ishi bila ndoa kabisa alafu uje unepe mrejesho
 
Ecclesiastes 4:9: "Two are better than one, because they have a good return for their labor: If either of them falls down, one can help the other up. But pity anyone who falls and has no one to help them up. Also, if two lie down together, they will keep warm. But how can one keep warm alone?"
 
Anunue mdoli

Sihitaji kununua mdoli..! Wanawake wapo wengi tu mtaani. Nachakata kama kawaida baada ya hapo kila mtu mambo yake. Shida mnalazimisha kuamini ndoa ndio Familia sijui, Nikiwa na mtoto na ndugu au marafiki tunaojaliana kwenye changamoto mimi kwangu hiyo ndio familia. So nyinyi oeni ila msituhubirie huo utopolo wenu. Eti ndoa ndio chanzo cha mafanikio sijui imeenda imerudi. Menn, I am building my own empire no stress no restrictions.! Familia na wale wanaokuwepo kukupa mkono unapokuwa una pakushika, that’s all.
Nyie endeleeni kugongeana humo ndani kwenu mpige picha za uchi mziweke mtandaoni.

It’s not necessary to be married to have a Family. Msitufanye mabumbuwazi. Endeleeni kufarijiana huko ndani kwenu.

Learn not to publicize your stupidity especially when it’s not necessary.
 
Did it mention married men and women ? Two can either be two friends who want to join their forces to build something they want.
Tell me something vivid, sio mafungu yenu hayo ambayo yanasisitiza umoja na sio utengano. Fungu linasisitiza umoja and not otherwise. Don’t fool me
 
Sihitaji kununua mdoli..! Wanawake wapo wengi tu mtaani. Nachakata kama kawaida baada ya hapo kila mtu mambo yake. Shida mnalazimisha kuamini ndoa ndio Familia sijui, Nikiwa na mtoto na ndugu au marafiki tunaojaliana kwenye changamoto mimi kwangu hiyo ndio familia. So nyinyi oeni ila msituhubirie huo utopolo wenu. Eti ndoa ndio chanzo cha mafanikio sijui imeenda imerudi. Menn, I am building my own empire no stress no restrictions.! Familia na wale wanaokuwepo kukupa mkono unapokuwa una pakushika, that’s all.
Nyie endeleeni kugongeana humo ndani kwenu mpige picha za uchi mziweke mtandaoni.

It’s not necessary to be married to have a Family. Msitufanye mabumbuwazi. Endeleeni kufarijiana huko ndani kwenu.

Learn not to publicize your stupidity especially when it’s not necessary.
Nnachoona kwako ni utoto... Hope ukikua utaelewa kwamba ni rahisi kumzalisha mwanamke Kisha ukalea mtoto.
Pia umri utakapozidi kwenda ndo utajua wale watu unaojaliana nao ni family yako au nao wana familia zao
 
Genesis 2:24: "Therefore a man shall leave his father and his mother and hold fast to his wife, and they shall become one flesh."

I think that verse says about people when people want to stay together..! The issue here is, what convincing benefits do we have in marriage that we singles don’t have??
 
I think that verse says about people when people want to stay together..! The issue here is, what convincing benefits do we have in marriage that we singles don’t have??
#1 “That is why a man leaves his father and mother…”
It is right for a young man to leave the household of his parents when he is able so that he can begin to build a life of his own, cultivating his relationship with God and learning to begin to fulfill his God-given purposes in life. He should learn to become independent of his parents so that he can someday be the head of a wife, and even become useful to his parents in some way.

#2 “…and is united to his wife, and they become one flesh.”
As the young man is going along, living the life entrusted to him as an image-bearer, God will likely look at him, unless he is called to live as a celibate, and say, “It is not good for the man to be alone” (Gen 2:18). At which point he will bring to his attention a young woman who he has called to be his helper in life. He will notice her, court her, marry her, and they will become one flesh. Their independence from their fathers’ houses will be an extension of the young man’s independence recently gained. They will reflect the image of God both as complete individuals, and as a conjugal relationship, likely including children of their own who will one day go forth like arrows (Ps 127:4) and do the same.
 
Unachosema Mkuu ni ukweli mtupu na hii si Tanzania tu bali dunia nzima. Heshima iliyokuwepo miaka ya nyuma ndani ya ndoa siku hizi haipo tena. Waliooa na Walioolewa asilimia kubwa wanachepuka. Wanaowatongoza walioolewa au wanaotongozwa na waliooa miaka hii hawana woga tena wa kwamba yule Mke/Mume wa mtu. Kwa Tanzania ndoa mpya hazifiki miaka mitano na sababu kubwa ya kuvunjika ni kuchepuka na hizo ambazo zinaendelea nyingi zimeungwa na gundi maana kama mume hachepuki basi mke anachepuka or vice versa au wote wanachepuka.
Mawasiliano kuwa rahisi kutokana hasa na uwepo wa smartphone umeongeza sana urahisi wa kuchepuka. Mume wa mtu anaweza kuwa London, UK lakini anamtongoza mke wa mtu yuko Dar na kupanga kunyanduana.
Hivyo miaka 10 ijayo idadi ya ndoa duniani kote ikiwemo Tanzania inaweza kupungua sana Kwa sababu mbali mbali lakini kubwa kuliko zote heshima ndani ya ndoa haipo tena kama ilivyokuwa katika ndoa za Wazazi wetu.
Habari gani Wakuu

Aisee mimi kila siku nimekuwa najiuliza maswali memgi kwanini nioe yaani kwanini ? Wanaojiita Wachungaji wanatuaminisha oooh ndoa ni tamu oooh imekaa hivi ooh imekaa pale!

Hebu chukulia mtu ameolewa juzi juzi ambaye tunaamini ndoa ni tamu bado lakini anachepuka na Mume wa Mtu. Just imagine yaani. Utanambia hawa watu kwamba wanaamani kwenye hizo ndoa au wana experience utamu wowote wa ndoa hawa watu?

Unachepuka na Mume wa Mtu na Mwenye Mume kazinasa Picha zako wakati akikagua simu ya Mumewe Na kazisambaza sasa! Alfu kuna mtu juzi juzi eti ana crush kwa mwanajeshi ambaye sio mume wake na hapo ameolewa bado anakuwa na guts za kutuambia eti Tuoe mbona umri umefika wa kuoa?

NILIKUWA NIKO KWENYE MCHAKATO WA KUOA ILA NGOJA NIVUTE VUTE NA SIRUDI TENA KUPELEKA MAHALI.
MNAO OA NA KUOLEWA, OLEWENI KIMYA KIMYA MSITUHUBIRIE UJINGA WENU WA NDOA HAPA.
Tuzaeni kwa makubaliano basi, tulee watoto.

ndoa sio lazima, wanaoa/kuolewa kukamilisha ratiba tu, ila hakuna ulazima

ndio maana, 'life style' ya kuchepuka iko palepale, aoe asioe/aolewe asiolewe
 
Kwani hakuna ndoa zenye amani siku hizi!
Hakuna ndoa ambayo wenza wako faithful!

Mambo ya kuchepuka yalikuwepo tangu zamani hakuna jipya kabisa ktk hili.

Tofauti ya ndoa za zamani na sasa ni kwamba zamani wanandoa walikuwa wavumilivu pia walikuwa wanatatua mambo yao kwa busara sana siku hizi uvumilivu hakuna busara pia hakuna mihemko mingi sana.

Watu waliodumu kwenye ndoa walidumu kwa sababu ya uvumilivu na busara kwa wenza wao.

Maisha kwa ujumla yanahitaji uvumilivu na busara.
 
Unachosema Mkuu ni ukweli mtupu na hii si Tanzania tu bali dunia nzima. Heshima iliyokuwepo miaka ya nyuma ndani ya ndoa siku hizi haipo tena. Waliooa na Walioolewa asilimia kubwa wanachepuka. Wanaowatongoza walioolewa au wanaotongozwa na waliooa miaka hii hawana woga tena wa kwamba yule Mke/Mume wa mtu. Kwa Tanzania ndoa mpya hazifiki miaka mitano na sababu kubwa ya kuvunjika ni kuchepuka na hizo ambazo zinaendelea nyingi zimeungwa na gundi maana kama mume hachepuki basi mke anachepuka or vice versa au wote wanachepuka.
Mawasiliano kuwa rahisi kutokana hasa na uwepo wa smartphone umeongeza sana urahisi wa kuchepuka. Mume wa mtu anaweza kuwa London, UK lakini anamtongoza mke wa mtu yuko Dar na kupanga kunyanduana.
Hivyo miaka 10 ijayo idadi ya ndoa duniani kote ikiwemo Tanzania inaweza kupungua sana Kwa sababu mbali mbali lakini kubwa kuliko zote heshima ndani ya ndoa haipo tena kama ilivyokuwa katika ndoa za Wazazi wetu.

[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
ndoa sio lazima, wanaoa/kuolewa kukamilisha ratiba tu, ila hakuna ulazima

ndio maana, 'life style' ya kuchepuka iko palepale, aoe asioe/aolewe asiolewe

Ndio hapo, Kuna watu humu Jf vituko ni balaa yani. Kuna watu huku walikuwa wamewekeana signature ya Id za majina yao. Yamekuja kuwafura huko akaja akasema eti “ I am a married woman “ n still she was dating someone else na sio hilo tu Juzi juzi kuna Mwanamke humu ali declare kuwa ali crush kwa Mjeda na hapo ameolewa..! Like serious, sasa hapo huyo Jamaa kama angejiongeza labda akasogelea meza yao si angemla bila shida. Na hapo watu wanakuambia ndoa Tamuu…! Kama ni Tamu mbona mnatoka nje mnadanga kama Mbwa huku mtandaoni mkijificha kwenye Fake Ids na Password huko Kwenye messenger.
Kama ndoa ni Tamu walioolewa wangekuwa hawachepuki, lakini siku hisi kuchepuka imekuwa kama fashion yaani. Leo hii zomevuja Picha za Uchi za Mke wa Mchungaji sijui, alichepuka na Jamaa ambaye naye kaoa, see how these People want to Fool us kwamba Kwenye ndoa kuna Utamu kwenye ndoa.!
Ndio maana nawaomba mkioana Mkaa kimya msije hapa mnatulazimisha ku normalize mtu kutoka nje ya Ndoa. Period
 
Nnachoona kwako ni utoto... Hope ukikua utaelewa kwamba ni rahisi kumzalisha mwanamke Kisha ukalea mtoto.
Pia umri utakapozidi kwenda ndo utajua wale watu unaojaliana nao ni family yako au nao wana familia zao

IMG_0107.jpg

Eti utoto
 
Oaneni tu

Ila msiwekeze maisha yenu yoooote kwa wenza wenu mtaumia

Kila mmoja afukuzie ndoto zake wakati mkiwa mnafukuzia ndoto yenu

Hapo hata yakitokea ya kutokea hamtoumizana mioyo!!!!
 
Oaneni tu

Ila msiwekeze maisha yenu yoooote kwa wenza wenu mtaumia

Kila mmoja afukuzie ndoto zake wakati mkiwa mnafukuzia ndoto yenu

Hapo hata yakitokea ya kutokea hamtoumizana mioyo!!!!
Kama una point japo hip point ndo chanzo cha majanga kwenye ndoa
 
Back
Top Bottom