Tukisema ndoa zimekosa mvuto na thamani mnakataa na kutuuliza "umeoa"?

Tukisema ndoa zimekosa mvuto na thamani mnakataa na kutuuliza "umeoa"?

Yani kama umesikia kunawatu hawajui maana yandoa ndopamoja nawewe yani umeamua kuzungumzia kitu usichokijua endelea kujidanganya
 
Hayo matukio hayawezi kuhalalisha kuwa hakuna ndoa zenye amani na furaha tele, na siyo sababu ya kutokuoa kama mtu uliyempata ni sahihi kwako kwa vigezo vyako. Zaidi zaidi unachelewesha watoto shule na utakuja kuwapata kipindi ambacho umri umeenda we mwenyewe unahitaji kupumzika hutaki bugudha za watoto vikija miguuni ni tokaaa tokaaa mwishowe wanakosa hata mapenzi ya mzazi.
 
Back
Top Bottom