Tukisema ndoa zimekosa mvuto na thamani mnakataa na kutuuliza "umeoa"?


Hahaha…! Yule mama daah ni balaa tupu Mtupu.
 
We kumbe bado mtoto rafiki angu!!! Umejibu kiuni sana japo ukweli unaujua au nikukumbushe.... Familia ni Baba Mama na watoto iyo ndo familia yako achana na kutaja mjomba sijui mamdogo nao wanafamilia zao
 
Haha.. Welcome Mrs Salt. Let’s put joke aside, What else is there Ukishaolewa ? Vitu gani ambavyo wewe uliyeolewa unavipata yule wa Nje ambaye hana Mume na ana mtoto kabla hujaendelea kutubwatukia hapa. Lol, eti Ujinga ujinga.
Maisha yenyewe ndiyo haya haya....
Ndoa is all about mbunye mwayego, tena ukioa unakosa uhuru make ukitaka kutumia nyingi, hivo kuwa single ni raha unapiga dizaini zote, wakati wowote

Hapo vipi?
 

Mmmh Haya endeleeni sasa.! Diamond ameoa ?? Mbona anazidi kufanikiwa acha kutufanya wajinga. Eti nikajadili na wahuni wenzangu, utakuwa ni moja ya wale ambao mnakula wake za watu na mnasimama mazabahuni na kuhubiri ndoa and blah blah..! Hakuna cha utamu wala nini..! Been there and never liked it at all. Endelea kula wake za watu Mkuu usiite watu watoto utazani mmekutana live.
 
Maisha yenyewe ndiyo haya haya....
Ndoa is all about mbunye mwayego, tena ukioa unakosa uhuru make ukitaka kutumia nyingi, hivo kuwa single ni raha unapiga dizaini zote, wakati wowote

Hapo vipi?

Endelea na Majukumu yako Mkuu, jioni uka chakatwe. People are making money and happy bila hata hiko mnakiita Ndoa. Tell me something ambacho ulieko kwenye ndoa mimi ambaye sipo huku sikipati..!?
 
Mjomba ndoa haipukiki hata uchelewe vip gereza haliepukiki...

Kama ndoa hutaki je Kwani hautokua na Uhusiano??

Je huyo utakaekua nae unaamini hato gongwa nje???

Alafu siku hizi watoto wa kiume kulia Lia kuogopa changamoto za maisha ndo fashion ndo Mana "ushoga" mwingi

#sijakutukana ni lugha tu
 
Mtoto wa Abdul mara kesho mtoto wa nyange

Haha..! Kwani Nyange alimpa vipi mimba mama yake Sadala ? Alikuwa kwenye ndoa na akawa anachepuka na hayo ndio yakatokea.
Mlioko kwenye ndoa ndio mnasababisha damage kubwa sana huku mtaani.
 
Inamaana asipooa kuogopa kugongewa maisha yake ya mahusiano anayaelekeza wapi
 
Ajali za ndege ni mbaya kwa hiyo watu waache kupanda ndege we boya kweli ,kwanza ndoa sio mbaya ,watu ndio wabaya
 
Kaka kifurushi kimeisha, niungie sasa tuchat [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Sijaona tusi Mkuu kuwa na amanibtu, umendika mawazo yako na si ya mtu. Ila ndo nakuambia kuwa Mlioko kwenye ndoa mnasababisha damage kubwa sana huku mtaani.
Wanawake walioko kwenye ndoa ndio hao wanahangaika na vibenten kila kukicha na wanaume nao wanahangaika na wasichana. Kama ni mafanikio kila mtu anaweza kufanikiwa kinachobaki ni Mungu amenadika nini kwenye maisha yako.
Work hard, discipline and Devine favor = Success.
Eti ukioa kuna mafanikio ?? Hahaha wote walioa wangekuwa wamefanikiwa, Mafanikio my foot
 
Ajali za ndege ni mbaya kwa hiyo watu waache kupanda ndege we boya kweli ,kwanza ndoa sio mbaya ,watu ndio wabaya

Haya Ndoshi.!

Nina wasi wasi na uwezo wako wa kuelewa mambo.! Unaweza kulinganisha Muumganiko wa watu usiovunjwa na chochote isipokuwa kifo na Kupanda ndege ambayo sio kitu cha kulinganisha kwacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…