Lamzettttt
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,218
- 3,481
Wache wale bana..!! We Live n die.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamjua mista Pira weye ?Yap tulipigwa parefu🤣🤣🤔hayaaa eeeh inauma in aslay voice.
😂😄😆😁😅😅Muda umeshaongea siwezi kupinga hapo tulipigwa ilikua dili la watu tu
Kwamba Tanzania Royal Tour ilikuwa ni siasa,Royal Tour ilikuzwa kuliko uhalisia wake.
Na pia Royal Tour Documentary haikuwa na maudhui yoyote makubwa yenye ushawishi kwa watalii kuweza kuijua Tanzania pamoja na vivutio vyake.
Bali Royal Tour ilitumika na kundi la wajanja ndani na nje ya nchi hii,ili kumuweka Rais Samia karibu yao zaidi.
Na hatimae kutimiza malengo yao kisiasa na kiuchumi.
Nimeweka video links hapa,za Documentary mbili tofauti,moja ni hiyo Royal Tour,na ingine ni ya mzungu binafsi aliyetumia pesa zake kiduchu,na hatimae kuitangaza Tanzania kuliko hiyo Royal Tour.
Na hapo muelewe kwamba Royal Tour ilitumia zaidi ya Bilioni 12,huku majina ya wachangiaji yakiwekwa kapuni mpaka leo hii
Badili jina uwe juicer badala ya voicer. Sioni ulichoandika

Anyamaze tuMayalla anazeeka vibaya,anateswa na uteuzi!
Ni wa kumsamehe Bure mkuu!
Ingekuwa wamechangia watu lazma wangetajwa na kwa kuwa kutajwa kwao majina ni fursa na hakuna asitetaka fursa ya kuonekananau kusikikaTumepigwa vipi wakati hatujatumia hata senti tano yetu ya serikali?. Ni pesa za mfadhili mwanzo mwisho!.
P
Hilo nalo wazo. Inawezekana pia.Sidhani kama Ile ni documentary ya wanyama per se Ile ni branding tu ya Rais Samia na sababu yule jamaa alifanya Royal Tours na Marais kadhaa ndio maana na yeye kamtumia yule it's not about viewership ila aina ya documentary.
So hao washauri wa Rais walitaka wamtambulishe Samia kwa Dunia na sio kutambulisha wanyama kwa Dunia maana documentary za Serengeti zimejaa national geographic kila siku.
Mchango maridadi mnoo!Mzee hapa umetoa boko.
Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa National Geographic Channel zote 2.
Wana watu zaidi ya 2 billion viewers na subscribers, wana data base ya wataalum (exploreres, wild animal doctors,Ecologist ,etc)
Wana fund projects zaidi ya 15,000 kwa mwaka.
Usirudie tena kuongea hiyo kitu.
Kama nchi hii ingekuwa inatumia akili, wangetengeneza extended documentary ambayo ingekuw inarushwa kwa mwezi au miezi kibao, sasa mnatengeneza kapicha na kukazindua marekani mnarudi hapa bongo mmekaa tu.
Viewers zaidi ya 2 BILLION, embu
IHESHIMU NATIONAL GEOGRAPHIC CHANNEL
NA USIRUDIE HII KAULI TENA SAWA?
Amesema wazungu wamemaindi sana kumuona staling'i raia namba moja, mama! Sijui ni wazungu wa wapi wanaomaindi kuwaona marais. Mzungu aje Tanzania eti kwa sababu ameona kuna rais mwanamke! Labda mzungu wa reli. Tumezoea kuwaabudu marais akaona amuweke na wa Zanziba na mkewe ili wafurahi kujiona kwenye sinema, Peter! You got a ROYAL TOUR bro, and most of all by being driven by a President! Trully you culved a Royal Tour for yourself.Mkuu heshima yako.
Vipi kwa mtazamo wako,je ilikuwa na impact yoyote kwa taifa au ilikuwa ni upepo wa kisulisuli na bizness as usuals. Please msaidie mleta mada.
Mama alivyoingia madarakani wakamdaka magufuli haters na wasanii. Wakaona wamfundishe mama kuigiza mapema ndio wakamletea aigize royal tours.Huwa nikikumbuka naumia najituliza na beer. Kwenye yale maigizo tulipiga pesa sana sisi watu wa karibu na mfumo. Kiuhalisia ilikuwa tu ni namna ya kuangalia tunapataje pesa na kuendelea na maisha mengine. Sasa kuna kipindi nikipita huko tanza.
Naoina maisha ya maskini yalivyo na mateso waliyonayo. Kama binadamu moyo unaniuma nasema tumswalie mtume ndugu zanguni hali ni mbaya sana.
Nikianza kuwaza hayo nakunywa beer kuondoa mawazo ya kijinga.
Kazi iendelee sasa.
Kwani, wewe, Pascal Mayalla hujui kanuni ya vipaumbele?Suppose ingetumia 100 billions na kuonyesha tuu the potrait photo ya Samia, kama ilivyo picha ya Mona Lisa iliyochorwa na Leonardo Da Vinci, na hizo billions sio zetu ni za mfadhili wa kujitolea, kuna tatizo gani?.
Watanzania tujifunze kuwa na shukrani hata kwa madogo tuu ili tujaaliwe makubwa!. Kitendo tuu cha a documentary ambayo sterling wake ni citizen number one wa Tanzania, ina impact kubwa kuliko a 100 millions dollars documentary ya National Geographical!.
Don't compare Mbingu na Ardhi!
P
Last time nilikusoma kama mwanasheria! Inashangaza hutaki kutambua tatizo kwa watu kujificha kwenye kivuli cha kuchangia serikali!Suppose ingetumia 100 billions na kuonyesha tuu the potrait photo ya Samia, kama ilivyo picha ya Mona Lisa iliyochorwa na Leonardo Da Vinci, na hizo billions sio zetu ni za mfadhili wa kujitolea, kuna tatizo gani?.