Mzee hapa umetoa boko.
Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa National Geographic Channel zote 2.
Wana watu zaidi ya 2 billion viewers na subscribers, wana data base ya wataalum (exploreres, wild animal doctors,Ecologist ,etc)
Wana fund projects zaidi ya 15,000 kwa mwaka.
Usirudie tena kuongea hiyo kitu.
Kama nchi hii ingekuwa inatumia akili, wangetengeneza extended documentary ambayo ingekuw inarushwa kwa mwezi au miezi kibao, sasa mnatengeneza kapicha na kukazindua marekani mnarudi hapa bongo mmekaa tu.
Viewers zaidi ya 2 BILLION, embu
IHESHIMU NATIONAL GEOGRAPHIC CHANNEL
NA USIRUDIE HII KAULI TENA SAWA?