denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Hapa umeonesha hisia, sioni kwanini tuendeshwe kwa hisia kwenye jambo linalohitaji uthibitisho ili mjadala ufungwe.Sidhani kama Kuna favor maana hii nchi wanaojikomba ni wengi. Shigongo alilipwa Nini licha ya kujikomba vile Hadi kutengeneza ma T shirt nchi nzima? Nakumbuka hata Private Sector ilimuita JPM na kumpigia kampeni ya wazi and possibly walimchangia Hela ya kampeni. So kwa Tanzania usishangae ni CRDB na NSSF ndio walikimbilia kutoa Hela Ili wajikombe kombe kwa Rais!!
Wanaotoa Hela wapate favor labda huko wazungu ila wa humu huwa kama mazombie yenyewe yanatoa Hela kama kujikomba sio kuomba favor.
Rais atuambie huyo mfadhili wa Royal Tour alikuwa nani? na walikubaliana atampa nini kimya kimya, kuendesha serikali kwa siri ndio dalili za mwanzo za ufisadi unaotuangamiza.