Tukisema Yanga SC kuna Njaa na Shida muwe mnatuelewa tafadhali

View attachment 1286033
Gwambina wana Stadium wamekaa kimya..Eagle queens kajiwanja kelele ..lakini sawa hamjawahi kuwa na uwanja toka dunia iumbwe
Nendeni mkaangushe miembe huko Kigamboni..Yaani viwanja wiwili ambavyo vinaendelea kujengwa utalinganisha na kimoja

Lakini unasifia nyumba ya mwenzako ilhali wewe huna tuiteje?
 
Nendeni mkaangushe miembe huko Kigamboni..Yaani viwanja wiwili ambavyo vinaendelea kujengwa utalinganisha na kimoja

Lakini unasifia nyumba ya mwenzako ilhali wewe huna tuiteje?
Kumbuka Yanga ndio timu ya kwanza kuwa nakiwanja..raisi Kenneth Kaunda ndio aliufungua..tabia nchi imetuharibia
 
Mkuu tarehe 4 naona dalili ya chama langu Simba kupigwa na Yanga au kutoa sare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…