GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #61
ge
Mjukuu wangu genta upo?
Nipo Mtani wangu na nimejaa tele tu. Niambie...! Wewe ni wa wapi Kagera au Singida au Kigoma au Ukerewe Mwanza au Kondoa Dodoma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ge
Mjukuu wangu genta upo?
Nipo hapa hapa jijin nakaa mtaa mmoja na Mdogo wako Mkude mzee wa lagaNipo Mtani wangu na nimejaa tele tu. Niambie...! Wewe ni wa wapi Kagera au Singida au Kigoma au Ukerewe Mwanza au Kondoa Dodoma?
Mnakwama wapi wananchiSio inawafurahisha Mtani?
🤷♀️🤷♀️🤷♀️Mnakwama wapi wananchi
Nikifiria maafa yanayokuja mwezi wa kwanza.🤷♀️🤷♀️🤷♀️
Nendeni mkaangushe miembe huko Kigamboni..Yaani viwanja wiwili ambavyo vinaendelea kujengwa utalinganisha na kimojaView attachment 1286033
Gwambina wana Stadium wamekaa kimya..Eagle queens kajiwanja kelele ..lakini sawa hamjawahi kuwa na uwanja toka dunia iumbwe
Hamna kitu kama hicho najua wajua mechi za simba na Yanga zisivyotabirika Mtani.Nikifiria maafa yanayokuja mwezi wa kwanza.
Haha bora nikae kimya
Kumbuka Yanga ndio timu ya kwanza kuwa nakiwanja..raisi Kenneth Kaunda ndio aliufungua..tabia nchi imetuharibiaNendeni mkaangushe miembe huko Kigamboni..Yaani viwanja wiwili ambavyo vinaendelea kujengwa utalinganisha na kimoja
Lakini unasifia nyumba ya mwenzako ilhali wewe huna tuiteje?
EXCLUSIVE: "Nimeandika barua ya kuvunja mkataba na Yanga kwa sababu sijalipwa mishahara yangu kwa muda wa miezi mitatu sasa. Mimi ni raia wa kigeni unategemea nitaishi vipi hapa"-Lamine Moro mchezaji wa Yanga.
Chanzo Habari: Mtandao wa Shaffih Dauda Leo tarehe 7 Disemba 2019
EXCLUSIVE: Falcao ameomba kuondoka ndani ya Yanga kufuatia kutolipwa mshahara wake wa miezi miwili. Inaelezwa.
Chanzo Habari: Mtandao wa Saleh Ally ule wa salehjembe Leo tarehe 7 Disemba 2019
Naomba aliyewahi Kusikia mahala popote pale Mchezaji wa Simba SC analia ' njaa ' kama hawa Wawili wa Yanga SC aweke Ushahidi wake hapa kama huu uliowekwa hapa. Niliwaambieni Yanga SC kuwa huyo Mwenyekiti wenu ni Simba SC ' dam dam ' hamniamini na hivi tunamalizana nae ' Kimjini Mjini ' ili Kelvin Yondan atue rami Msimbazi dirisha dogo kwani Kocha mpya Ibenge kutoka DRC Congo na Pitso Mosimane kutoka Afrika Kusini wote wanamuhitaji Kikosini.
Na tarehe 4 January 2020 tunaenda Kumfukuzisha Kazi Kocha Mkwasa kwa Kipigo ' Kitakatifu ' kwa Mchina.