Hee ba mnyong'ode hii si mijadala tuu mbona wafika mbaliWamezikwa kwenye matakoo ya mamako!
Vipi kwani?

Ni mandezi kweli, ulishaona mandezi mkatia chocolate zenu Zanzibar?Na akimaliza muda wake anasepa hahaha, kama Sada mkuya tu Kawa waziri huku kapiga noti weee karudi Zanzibar anaanza kutuona sisi mandezi.
Kabla hatujaenda mbali, unasema sisi ni watanzania, na wote tuna haki sawa. Je Mtanganyika anaweza kwenda kumiliki ardhi Znz ama kuwa kiongozi huko? Au huo usawa unauimba ukiwa kipofu wa ukweli?Mwalimu Nyerere aliwahi kutuasa kuwa mambo ya kuchochea chuki za ukabila, ama udini, yakianza na tukayapa nafasi, hayana simile.
Si hoja yangu leo kumtetea Rais Samia kwa mambo anayolaumiwa, Hoja yangu ni propaganda za ubaguzi wa kidini, kikabila na kikaburu zinazoambatanishwa na ukosowaji wake.
Tafakari, kama swala ni kumkosoa Rais, mathalani kwa mambo fulani fulani ambayo kundi fulani haliridhishwi nayo, kuna sababu gani ya kumbadika rebo kuwa huyu mzanzibar, huyu wa kizimkazi au huyu muislam?
Wakati mwingine unaweza kuwa na hoja nzuri, lakini ukishaiwasilisha katika kifungashio cha kibaguzi, itakabiliwa badala ya kujibiwa.
Nchi yetu ni Tanzania, sisi wote ni watanzania na sote tuna haki sawa, angalau katika misahafu yetu ya sheria tuliyo nayo. Kwanini tusiishi kwa upendo na kuheshimiana?
Mwalimu aliwahi kutukumbusha kuwa tutakapomaliza kuchoma maduka ya wapemba kariakoo, wazaramu watagundua hata waha, wamanyema, wachaga na wakinga maduka yao hayatakiwi kuwepo kariakoo maana nao pale sio kwao. Hapo ndipo tutakapoelewa kuwa mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
Leo hii kinachotufanya tujione sisi ni watanganyika na sio watanzania ni kwasababu tunataka kuwabagua Wazanzibari. Champions wa agenda hii wanatumia madhaifu ya Rais wetu mzanzibari, kueneza chuki kana kwamba uzanzibari ni janga kubwa mno kwa watu wa bara, kwani ukitaka kuua mbwa sharti umpe jina baya.
Nchi yetu sio "finished project", bali ni "work on progress". Katika safari yetu ya matumaini kuelekea nchi ya ahadi, ni wazi tutakutana na kero, changamoto, maudhi, vikwazo, n.k. Vitu hivi havipaswi kututoa kwenye reli ya kujenga nchi yetu katika misingi ya umoja, amani na utulivu.
Umeishiwa hoja bila shaka.NO PERFECT HUMAN BY 100% NEVER EVER!
Huwenda lissu ndiyo mbovu mara 1000%.
Ndugu Dr Adam, wewe ndiye ninakuona ukimteteta Samia kwa kujiegesha ktk matabaka unayoyahisi wewe. Hii ni kwa sababu hoja zote za kumkosoa Samia ziko wazi na zinaeleweka na wala hazina hata viashiria vya ubaguzi wa kimatabaka kama unavyotaka kutuaminisha. Hoja hizo ni pamoja na kudhibiti utekaji, kufanya marejeo ya sheria na kanuni za uchaguzi uwe huru na haki, mchakato wa katiba mpya, kuàcha kutumia mahakama kukandamiza watu nk.Mwalimu Nyerere aliwahi kutuasa kuwa mambo ya kuchochea chuki za ukabila, ama udini, yakianza na tukayapa nafasi, hayana simile.
Si hoja yangu leo kumtetea Rais Samia kwa mambo anayolaumiwa, Hoja yangu ni propaganda za ubaguzi wa kidini, kikabila na kikaburu zinazoambatanishwa na ukosowaji wake.
Tafakari, kama swala ni kumkosoa Rais, mathalani kwa mambo fulani fulani ambayo kundi fulani haliridhishwi nayo, kuna sababu gani ya kumbadika rebo kuwa huyu mzanzibar, huyu wa kizimkazi au huyu muislam?
Wakati mwingine unaweza kuwa na hoja nzuri, lakini ukishaiwasilisha katika kifungashio cha kibaguzi, itakabiliwa badala ya kujibiwa.
Nchi yetu ni Tanzania, sisi wote ni watanzania na sote tuna haki sawa, angalau katika misahafu yetu ya sheria tuliyo nayo. Kwanini tusiishi kwa upendo na kuheshimiana?
Mwalimu aliwahi kutukumbusha kuwa tutakapomaliza kuchoma maduka ya wapemba kariakoo, wazaramu watagundua hata waha, wamanyema, wachaga na wakinga maduka yao hayatakiwi kuwepo kariakoo maana nao pale sio kwao. Hapo ndipo tutakapoelewa kuwa mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
Leo hii kinachotufanya tujione sisi ni watanganyika na sio watanzania ni kwasababu tunataka kuwabagua Wazanzibari. Champions wa agenda hii wanatumia madhaifu ya Rais wetu mzanzibari, kueneza chuki kana kwamba uzanzibari ni janga kubwa mno kwa watu wa bara, kwani ukitaka kuua mbwa sharti umpe jina baya.
Nchi yetu sio "finished project", bali ni "work on progress". Katika safari yetu ya matumaini kuelekea nchi ya ahadi, ni wazi tutakutana na kero, changamoto, maudhi, vikwazo, n.k. Vitu hivi havipaswi kututoa kwenye reli ya kujenga nchi yetu katika misingi ya umoja, amani na utulivu.
Zamani kipindi cha Magufuli kurudi nyuma, hilo suala la kabila au eneo analotoka mtu lilikuwa hakuna au lilikuwa kidogo sana(Insignificant).Watz wengi wana akili ndogo. Ndio maana hawawezi kuwa objective katika kumkosoa mtu pasipo kuhusisha na kabila au eneo analotokea.
Naunga mkono hoja, tumvumilie mama amalize awamu yake 2030 siyo mbali tutamchagua mwingine maisha yaendeleeMwalimu Nyerere aliwahi kutuasa kuwa mambo ya kuchochea chuki za ukabila, ama udini, yakianza na tukayapa nafasi, hayana simile.
Si hoja yangu leo kumtetea Rais Samia kwa mambo anayolaumiwa, Hoja yangu ni propaganda za ubaguzi wa kidini, kikabila na kikaburu zinazoambatanishwa na ukosowaji wake.
Tafakari, kama swala ni kumkosoa Rais, mathalani kwa mambo fulani fulani ambayo kundi fulani haliridhishwi nayo, kuna sababu gani ya kumbadika rebo kuwa huyu mzanzibar, huyu wa kizimkazi au huyu muislam?
Wakati mwingine unaweza kuwa na hoja nzuri, lakini ukishaiwasilisha katika kifungashio cha kibaguzi, itakabiliwa badala ya kujibiwa.
Nchi yetu ni Tanzania, sisi wote ni watanzania na sote tuna haki sawa, angalau katika misahafu yetu ya sheria tuliyo nayo. Kwanini tusiishi kwa upendo na kuheshimiana?
Mwalimu aliwahi kutukumbusha kuwa tutakapomaliza kuchoma maduka ya wapemba kariakoo, wazaramu watagundua hata waha, wamanyema, wachaga na wakinga maduka yao hayatakiwi kuwepo kariakoo maana nao pale sio kwao. Hapo ndipo tutakapoelewa kuwa mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
Leo hii kinachotufanya tujione sisi ni watanganyika na sio watanzania ni kwasababu tunataka kuwabagua Wazanzibari. Champions wa agenda hii wanatumia madhaifu ya Rais wetu mzanzibari, kueneza chuki kana kwamba uzanzibari ni janga kubwa mno kwa watu wa bara, kwani ukitaka kuua mbwa sharti umpe jina baya.
Nchi yetu sio "finished project", bali ni "work on progress". Katika safari yetu ya matumaini kuelekea nchi ya ahadi, ni wazi tutakutana na kero, changamoto, maudhi, vikwazo, n.k. Vitu hivi havipaswi kututoa kwenye reli ya kujenga nchi yetu katika misingi ya umoja, amani na utulivu.
Hakuna anayesema aondolewe madarakani bali ni kwamba watu wanataka arekebishe kasoro zinazoleta matatizo kwa wananchi na taifa kwa ujumla ikiwemo kulirejesha taifa kuwa na haki, umoja, amani, uwajibikaji na maendeleo ya kweli.Naunga mkono hoja, tumvumilie mama amalize awamu yake 2030 siyo mbali tutamchagua mwingine maisha yaendelee
Ccm imejaa wafuasi wapumbavu kuliko chama chochote duniani.NO PERFECT HUMAN BY 100% NEVER EVER!
Huwenda lissu ndiyo mbovu mara 1000%.
Kama tunataka kuzienzi fikra sahihi za Mwl. Nyerere; basi inawapasa viongozi waliopo madarakani wawe wa kwanza kukemea mambo ya kuchochea chuki za ukabila, udini au zenye kuashiria ubaguzi.. Tena kwa sasa kama nchi tumejitumbukiza mahali pa hatari kubwa mno pale uongozi uliopo unaponyamazia bila hata kukemea kwa baadhi ya makundi au watu binafsi kujianzishia vikundi vya kijeshi vyenye silaha na vinavyotoa Vitisho kwa Raia..........ilhali Serikali ipo.Mwalimu Nyerere aliwahi kutuasa kuwa mambo ya kuchochea chuki za ukabila, ama udini, yakianza na tukayapa nafasi, hayana simile.
Si hoja yangu leo kumtetea Rais Samia kwa mambo anayolaumiwa, Hoja yangu ni propaganda za ubaguzi wa kidini, kikabila na kikaburu zinazoambatanishwa na ukosowaji wake.
Tafakari, kama swala ni kumkosoa Rais, mathalani kwa mambo fulani fulani ambayo kundi fulani haliridhishwi nayo, kuna sababu gani ya kumbadika rebo kuwa huyu mzanzibar, huyu wa kizimkazi au huyu muislam?
Wakati mwingine unaweza kuwa na hoja nzuri, lakini ukishaiwasilisha katika kifungashio cha kibaguzi, itakabiliwa badala ya kujibiwa.
Nchi yetu ni Tanzania, sisi wote ni watanzania na sote tuna haki sawa, angalau katika misahafu yetu ya sheria tuliyo nayo. Kwanini tusiishi kwa upendo na kuheshimiana?
Mwalimu aliwahi kutukumbusha kuwa tutakapomaliza kuchoma maduka ya wapemba kariakoo, wazaramu watagundua hata waha, wamanyema, wachaga na wakinga maduka yao hayatakiwi kuwepo kariakoo maana nao pale sio kwao. Hapo ndipo tutakapoelewa kuwa mkuki kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
Leo hii kinachotufanya tujione sisi ni watanganyika na sio watanzania ni kwasababu tunataka kuwabagua Wazanzibari. Champions wa agenda hii wanatumia madhaifu ya Rais wetu mzanzibari, kueneza chuki kana kwamba uzanzibari ni janga kubwa mno kwa watu wa bara, kwani ukitaka kuua mbwa sharti umpe jina baya.
Nchi yetu sio "finished project", bali ni "work on progress". Katika safari yetu ya matumaini kuelekea nchi ya ahadi, ni wazi tutakutana na kero, changamoto, maudhi, vikwazo, n.k. Vitu hivi havipaswi kututoa kwenye reli ya kujenga nchi yetu katika misingi ya umoja, amani na utulivu.
Una uhakika gani mkuu?Ccm imejaa wafuasi wapumbavu kuliko chama chochote duniani.
Hoja kuu hapa sio ubaguzi wa aina yoyote, bali ni udhaifu wa kuongoza, yeye sio mzanzibsri wa kwanza kuongoza. Mbona Mwinyi hakupigiwa kelele kama hiziSahihi mkuu,Hoja ijibiwe Kwa Hoja, ubaguzi huu sio mzuri Kwa jamii iliyostarabika,Kwa Nchi yetu ni ngumu kutumia ubaguzi huu Maana tuna vizazi vilivyochanganyika Toka pande zote,makabila yote,dini zote.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika!
Kabla hatujaenda mbali, unasema sisi ni watanzania, na wote tuna haki sawa. Je Mtanganyika anaweza kwenda kumiliki ardhi Znz ama kuwa kiongozi huko? Au huo usawa unauimba ukiwa kipofu wa ukweli?