Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Jitahidi kupanua fikra zako km wewe ni mtu mzma. Maisha hayapo hvyo unavyofikiria. Yaan tajiri anaweza lolote hapa duniani kisa anapesa tuNasikia kwa mwaka simba budget yake n billion tatu na al haly budget yake n zaid ya billion mia
umeshuhudia kilicho tokea?Ni Mpumbavu Mkomavu tu pekee ndiyo atajiaminisha na Kujidanganya huku akijipa Matumaini mbele ya Klabu Kubwa, Bingwa na Bora Afrika Al Ahly ambayo Thamani tu ya Wachezaji wake Wanne ni Thamani ya Klabu nzima ya Simba SC ambayo hadi leo hii Mohammed Dewji ' Mo ' hajaiweka katika Mfumo wa Uwekezaji kama alivyotakiwa katika Mchakato mzima.
Una michambo!!! sometimes nahisi ka najadiliana na hadija kopaKama aliyekutapika Wodi ya Uzazi baada ya Kukuhifadhi Miezi yake Kenda.
Kichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.
Hapo mpumbavu mkomavu ni wewe bila shakaNi Mpumbavu Mkomavu tu pekee ndiyo atajiaminisha na Kujidanganya huku akijipa Matumaini mbele ya Klabu Kubwa, Bingwa na Bora Afrika Al Ahly ambayo Thamani tu ya Wachezaji wake Wanne ni Thamani ya Klabu nzima ya Simba SC ambayo hadi leo hii Mohammed Dewji ' Mo ' hajaiweka katika Mfumo wa Uwekezaji kama alivyotakiwa katika Mchakato mzima.
Jipige kifuani mara tatu kisha sema kwa sauti kubwa MIMI NI ZEZETA WA MWISHO.Ni Mpumbavu Mkomavu tu pekee ndiyo atajiaminisha na Kujidanganya huku akijipa Matumaini mbele ya Klabu Kubwa, Bingwa na Bora Afrika Al Ahly ambayo Thamani tu ya Wachezaji wake Wanne ni Thamani ya Klabu nzima ya Simba SC ambayo hadi leo hii Mohammed Dewji ' Mo ' hajaiweka katika Mfumo wa Uwekezaji kama alivyotakiwa katika Mchakato mzima.
Kama ulibet mwanangu umekula bingo la kufa mtu.Aisee kesho Simba atashinda moja
Ni Mpumbavu Mkomavu tu pekee ndiyo atajiaminisha na Kujidanganya huku akijipa Matumaini mbele ya Klabu Kubwa, Bingwa na Bora Afrika Al Ahly ambayo Thamani tu ya Wachezaji wake Wanne ni Thamani ya Klabu nzima ya Simba SC ambayo hadi leo hii Mohammed Dewji ' Mo ' hajaiweka katika Mfumo wa Uwekezaji kama alivyotakiwa katika Mchakato mzima.
UMEMFAHAMU MPUMBAVU KATI YAKO NA UNAYEDHANI KUWA NI MPUMBAVU?
Brother uwe unaweka akiba ua maneno.
Ni Mpumbavu Mkomavu tu pekee ndiyo atajiaminisha na Kujidanganya huku akijipa Matumaini mbele ya Klabu Kubwa, Bingwa na Bora Afrika Al Ahly ambayo Thamani tu ya Wachezaji wake Wanne ni Thamani ya Klabu nzima ya Simba SC ambayo hadi leo hii Mohammed Dewji ' Mo ' hajaiweka katika Mfumo wa Uwekezaji kama alivyotakiwa katika Mchakato mzima.
UMEMFAHAMU MPUMBAVU KATI YAKO NA UNAYEDHANI KUWA NI MPUMBAVU?
Brother uwe unaweka akiba ua maneno.
Lipo redioniUnderdog wa kundi
Vp mkuu, unaweza kuwaleta kina Muller na Lewandosk wacheze na msimbazi?Subiri uone kitakachotokea Leo .Msilete visababu sababu mkifungwa Mara tatizo kocha Mara tatizo fulani Mara manula hatufahi. Mechi ya Leo ni kipimo tosha Cha ubora wa wachezaji wa Simba . Watu wamemkaba Muller ,Lewandoski washindwe Kagere ,Luis ,Mugalu,Chama hivi inaingia akilini kweli.Ngoja tusubiri muda utasema
Kichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.umeshuhudia kilicho tokea?
nadhani sasa umepata jibu.
nakushauri tu acha dharau.
mabadiliko makubwa, Simba inaonyesha sasa imewekeza vyema ktk soka, na bado naamni itazidi kupanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa changu cha Habari kinasemaje mwanzoni?Tumeshinda...
Mimi naona nabishana na Shoga / Bwabwa / Chakula / Mtoto si Ridhiki.Una michambo!!! sometimes nahisi ka najadiliana na hadija kopa
Ulisema ukiwa mkubwa unataka kuwa kama mimi ila mapema tu umeanza kuwa kama aireneMimi naona nabishana na Shoga / Bwabwa / Chakula / Mtoto si Ridhiki.
Anza Kumnunulia Dera Kwanza aliyepandikiza Mbegu ya Wewe kuja Duniani hivyo na ukimaliza nae ndipo uje Kwangu sasa sawa? Idiot!!!Ulisema ukiwa mkubwa unataka kuwa kama mimi ila mapema tu umeanza kuwa kama airene
Mikogo mingi mwanaume unachamba, hapa nafikiria nikununulie shela la kanga
Sijakulazimisha na Sikulazimishi ukubaliane na nilichokiandika hapa ila sijawahi kuja na Utabiri wangu na usiwe sahihi kama nilivyousema.
Tukishinda hata Mimi nitafurahi mno na Kumshukuru sana Mwenyezi Mungu ila tusidanganyane Al Ahly ni zaidi ya Simba SC ndani na nje ya Uwanja huku zaidi ikiwa ni katika Ufundi.
Nina uhakika wa Matokeo ya Suluhu (Sare bila ya Magoli) au Sare Pacha (ya Magoli) au Simba SC Kufungwa na Al Ahly goli Kuanzia 2 (Mbili)
Wale mtakaochukia na huu Uzi mnisamehe, tuvumiliane na muupokee tu kwani ndiyo Utabiri wangu kama ambavyo nimekuwa nikiutoa kwa Matokeo mengine mbalimbali yaihusuyo Simba SC yangu (yetu)
Kumfunga Al Ahly Kesho Kiutamaduni (Kiuchawi) Simba SC inatakiwa ifanye Kafara kubwa la Kiongozi wake Mmoja wa Juu Afe ghafla (tena kwa Ajali) na Damu yake itumike. Pia Kucheza huo Mchezo Saa 10 Jioni tumekosea mno kwani Jini la Ushindi la Simba SC huwa linaanza Kufanya Kazi kuanzia Saa 1 Usiku hadi Saa 6 Usiku tu.
Na Safari hii Al Ahly nao wamejidhatiti sana Kindumba (Kiuchawi) japo Wao wanatumia zaidi Kitabu na kuna Jambo wamelifanya Leo na Kesho Saa 5 Asubuhi watalifanya tena. Wamejiandaa mno kwa Fitna za nje ya Uwanja.