TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 15,266
- 25,555
Nilimkosakosa kwa picha ila nikaipata hapa.
Basi bana wakati mheshimiwa rais anamchapa mwenzake kuhusu cheo ambacho hata yeye alipewa na wananchi asilimia 97% basi bwana...
Waziri mkuu kutaka kuonyesha kaipenda engo hiyo akapeleka mikono kupiga makofi.
Gafla akajishtukia anapiga mwenyewe akajifanya anasafisha mikono yake kwa viganja vyake 😂!.
Gen -Z wanaita uchawa eeeh baba!!