Huyu mtu hafai hata kwa dawaNilimkosakosa kwa picha ila nikaipata hapa.
View attachment 3584843
Basi bana wakati mheshimiwa rais anamchapa mwenzake kuhusu cheo ambacho hata yeye alipewa na wananchi asilimia 97% basi bwana...
Waziri mkuu kutaka kuonyesha kaipenda engo hiyo akapeleka mikono kupiga makofi.
Gafla akajishtukia anapiga mwenyewe akajifanya anasafisha mikono yake kwa viganja vyake 😂!.
Gen -Z wanaita uchawa eeeh baba!!
Kwa tabia hizo mtindo wa kuwekeana sumu kwenye chai na maji ili vinoge itaisha kweli?Nilimkosakosa kwa picha ila nikaipata hapa.
View attachment 3584843
Basi bana wakati mheshimiwa rais anamchapa mwenzake kuhusu cheo ambacho hata yeye alipewa na wananchi asilimia 97% basi bwana...
Waziri mkuu kutaka kuonyesha kaipenda engo hiyo akapeleka mikono kupiga makofi.
Gafla akajishtukia anapiga mwenyewe akajifanya anasafisha mikono yake kwa viganja vyake 😂!.
Gen -Z wanaita uchawa eeeh baba!!
Lazima anayesemwa atambue na akitambua lazima akereke, akikereka lazima ataanza mawindo.Kwa tabia hizo mtindo wa kuwekeana sumu kwenye chai na maji ili vinoge itaisha kweli?
CCTV CAMERA hazitakuacha salama mkuu...ya Moja Moja yatakufika na weweNilimkosakosa kwa picha ila nikaipata hapa.
View attachment 3584843
Basi bana wakati mheshimiwa rais anamchapa mwenzake kuhusu cheo ambacho hata yeye alipewa na wananchi asilimia 97% basi bwana...
Waziri mkuu kutaka kuonyesha kaipenda engo hiyo akapeleka mikono kupiga makofi.
Gafla akajishtukia anapiga mwenyewe akajifanya anasafisha mikono yake kwa viganja vyake 😂!.
Gen -Z wanaita uchawa eeeh baba!!
Huyu ndio mwizi mkubwa kwa nchi yetu na ameua wengi mnoKawaje tena hadi hasifae?