Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

wewe ndio unaonekana mkurupukaji, kwani hujaona hizo alama za '...' au hujui matumizi yake.
nkajua unaleta ushahidi kama ule wa wachungaji mashoga wa anglican na lutheran. Kumbe we nae tabularasa tu zero sifuri.
Umeisoma vzr point ya mkuu hapo au umedandia tren kwa mbele,,,,,

Sent from my SH-02J using JamiiForums mobile app
 
Nidhamu labda ya woga, Papa akisema kitambaa cheusi ni cheupe inabidi useme ndio kwa kuwa kiongozi kasema.
 
Kifungu cha 14: Hakuna Wokovu Nje ya Kanisa La Kristo, Kanisa Moja Takatifu Katoliki La Mitume La Kimisionari.
Mbona wanita mwema?, Watakatifu Bora ni wale walioko duniani ninani anae weza dhibitisha huo ubora wa mwanadamu alie hai?.
 
Chanzo cha tatizo ni kwamba watu wengi hawaelewi tafsri ya neno Sheikh, wengi wanajua Sheikh ni muislam msomi wa Qur-an wa kiwango cha juu basi, kitu ambacho si kweli. Neno sheikh lina maana nyingi ni cheo anachopewa mtu kutokana na mafanikio yake kiuchumi,kiuongozi na hata kuwa na umri mkubwa (Mtu mzima)unaweza kuitwa Sheikh. Mfano: mmiliki wa timu ya Man city Sheikh Mansoor anaitwa sheikh kwa sababu ya utajiri wake, hana lolote kubwa analolijua katika elimu ya Qur-an na hata hapa nchini kiongozi au mtu mzima kuitwa Sheikh ni suala la kawaida, Alhad kuitwa Sheikh haimaanishi kuwa ni muislam mwenye elimu ya Qur-an yakiwango cha juu. Anaitwa Sheikh kwa maana ya kiongozi,kauli zake mzitafakari.
 
Vipi kama huko ukatolikini wanakukufurisha kwa kukusudisha masanamu kinyume na maandiko yanayosema usivisujudie wala kuvitumikia. Angalia Kutoka 20:4-5. 4. Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
5 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, Bwana, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
 
Kwani wale waliopiga kufuli zip za suruali zao na kutoboa matundu kudhalilisha taaluma zao wanatokea dhehebu gani?
 
Kwanini Wakristo msiokuwa Wakatoliki mna Chuki na Roho mbaya mno? Kwani hayo Madhehebu yenu hayakutokea huko Ukatolikini?

Au kwakuwa kuna Utafiti ulifanywa na kusema Wakatoliki wengi ndiyo very Intelligent na ndiyo Intellectuals zaidi duniani?
Wakatoliki ni wabinafsi sana.
Unajua Nchi Zenye maendeleo makubwa kabisa duniani wala hawana hayo mambo ya ukatoliki. Korea ,Japan,China, Urusi, Uingereza, Ujerumani,Sweden ,Denmark,Irani, Pakistani, Indonesia, Uswiss, Israel,Marekani, Canada n.k. wengi wao sio wa dini hiyo. Na kwa sasa ule ukatoliki wa Zamani unapungua mana wanaanza kujua ukweli kuwa kuna ukengeufu mkubwa kwenye Kanisa hilo lililojaa watu hatari kwa usalama wa duniani chini ya mgongo wa dini.

Tanzania ina wasomi wengi wa kikatoliki lakini ni watu wabinafsi wasiojali maendeleo ya jamii zaidi ya familia zao tu na kuhakilisha Wazungu kule Vatikani wanaishi kama peponi huku waafrika wenzao wakiishi kama mashetani na kuendekeza ulevi na uzinzi basi. Maisha yanaishia hapo kwa sababu hawaamini katika ulimwengu ujao kama alivyofundisha Yesu na Manabii wengine.

Kwa hiyo suala la dini lisiwe ni sababu ya kudharau wengine.

Nilisoma na wakatoliki wengi sana. Wengi walikua wanafaulu mitihani kwa wizi wa mitihani na wakati huo walikua hata hawasomi sana zaidi ya kuwa na ihakika wa kupata mitihani wiki moja kabla ya mitihani.

Wengi baba zao walikua kwenye Idara mbalimbali na walikua na uwezo wa kupata mitihani kirahisi sana. Hali hiyo iliendelea kwa muda mrefu sana. Wengi wa wasomi wale wa wizi wa mitihani Leo ndio wanaonekana ni wasomi mana waliweza kupenye mpaka elimu ya juu. Na wengine baba zao walikua wanauwezo wa kununua mpaka nafasi za watoto wa maskini.

Wale wa madhehebu Mengine hasa Walokole walikua wanakatazwa kata kata kuiba mitihani mana ni dhambi. Hali hiyo ilisababisha Wakatoliki wawe wanaonekana kuwa wanafanya vizuri na kwendelea na masomo ya elimu ya juu lakini kiuhalisia ulikua ni wizi wa mitihani.

Hebu jiulize kama Nchi ingekua na Sheria ya kukataza pombe wale wafanyabiashara waliojaza mabaa kila kona ya miji na magesti ya uzinzi wa walevi wangefanya biashara gani! Wangeweza kushindana waislam kwenye maisha au walokole wanaoishi maisha yao halisi kwa kumhofia Mungu.

Hao intellectuals sasa nadhani umeona ni feki sio kama unavyodanganywa!!

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Mhhhhh! Unawezaje kufanya majumuisho ya namna hii! Kwamba wakatoliki walikuwa wanafaulu mitihani kwa wizi wa mitihani!? Acha hizo Bwana. Ni shule gani ulisoma, ukaona hayo yanatendeka? Kufaulu sio kushinda masaa 24 unasoma. Kufaulu ni tunda la nidhamu na afya njema. Nidhamu ya kusoma kwa masaa kadhaa, na kufanya mazoezi kwa masaa kadhaa, kula kwa wakati na kupumzika. Sio ubundi! Acha wivu!
 
kumbe ata kuelewa hujaelewa. Inazungumzia kuhusu neno la Mungu. Lipo written na word of mouth ambayo ndio mapokeo. Soma nilichoandika vizuri. Suala la Roman nitakufundisha elewa kwanza kuwa mapokeo yapo. Na bibilia ni mapokeo ya kanisa.
 
kameze ndimu tu. Huna ushahidi unashuhudia uongo na kitecno chako huna ata aibu.
 
kumbe ata kuelewa hujaelewa. Inazungumzia kuhusu neno la Mungu. Lipo written na word of mouth ambayo ndio mapokeo. Soma nilichoandika vizuri. Suala la Roman nitakufundisha elewa kwanza kuwa mapokeo yapo. Na bibilia ni mapokeo ya kanisa.
nani aliyewaruhusu warumi kutunga mapokeo
 
Upuuzi mtupu. Hayo ni mawazo ya wenye fikra finyu katu sintoamini kupitia Roman Catholic. Hili kanisa lina mapungufu makubwa mengi sana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakwambia yametungwa? hakuna kilichotungwa wewe. Wanafunzi wake Yesu na warithi wao waliandika na kufanya mengi kwa kupitia maneno tu. Wote wale hawakuwahi kuisoma bibilia hii unayoisoma kwa kuwa haikuwa imekamilika mpaka around 500 AD. Acheni kukariri tafuteni historia ya kanisa la Kristu.
nani aliyewaruhusu warumi kutunga mapokeo
 
Mbona unashindwa mantiki ndogo tu. Kama yaliandikwa ama kusemwa na wanafunzi, supposedly wakivuviwa na Roho wa Mungu ni kwa nini hayakuwekwa kwenye Biblia. Nikupe majibu, hayakuwekwa kwa kuwa ni mapokeo yaani ni vitu unavyobitunga kwa kuwa unaamini vinafaa kuiwakilisha sauti ya Mungu vikisimama vyenyewe au vikichanganywa vingine. Mapokeo ni utopolo, ni ubatili wa kirumi, ni uchafu.
 
Uwelewa wakonimdogosana biblia nimkusanyiko yavitabuzaidi yaelfunne kwahiyomamboyote ayawezikuandikwa kwenyekitabu kimoja
 
Hakika umenena.Walie, wagaregare ,wapige kelele,watukane lkn Ukweli ndo huo.
 
Kwa hiyo angesifu shetani hapo ingekuwa tiebreaker.
 
Kwa hiyo angesifu shetani hapo ingekuwa tiebreaker.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…