AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
Hilo ni kitabu Muongozo chenu kinase a hivyo. Wewe unakataaje.Wewe ndio hujawahi. Huna haya mtu mzima unaropoka vitu huna hakika. Unashuhudia uongo kabisa. Leta evidence. page, yani watanzania bana , unakuta mtu anajifanya anajua jambo na analishupalia utadhani kweli. Kumbe anaishi kwa chuki tu. Catechism ungejua maana yake wewe wala usingeandika huo utopolo maana unatia aibu. Jaribu kujiridhisha au fanya research usikubali kujazwa conspiracy theories. Do some research juu ya kanisa. Ata mimi kabla sijawa mkatoliki nilikuwa na dhana nyingi sana potofu, ila nikaamua kwenda chimbo na sikurudi tena nyuma.
Siku Papa akihamisha makao yake ya kawa Longido basi litaitwa Kanisa la LongidoHilo ni kitabu Muongozo chenu kinase a hivyo. Wewe unakataaje. View attachment 1964991
Hiki kitabu aliandika Yesu au binadamu kama wewe? Hivi nikikuletea kitabu alichoandika sheikh Ponda what do you expect to read in.Hilo ni kitabu Muongozo chenu kinase a hivyo. Wewe unakataaje. View attachment 1964991
Ndio ulicho karirishwa huna point..brainwashed creature..endelea kuabudu upagani wa waroma na mapokeo ya mizimu yao kwa jina la watakatifu..hakuna wokovu huko.Kanisa ni moja tu. TAKATIFU, KATOLIKI LA MITUME
Kitabu kimeandikwa na wa katoliki wenzako unao waabudu walioko Roma. Na Papa akadondoka masignature. Tatizo mna uoga wa ukweli ndio shida yenu. Ingia library zenu usome Acha uvivu. Ukweli utakuweka huru.Hiki kitabu aliandika Yesu au binadamu kama wewe? Hivi nikikuletea kitabu alichoandika sheikh Ponda what do you expect to read in.
Ukishahadithiwa nenda kakae library zenu usome. Msiwe kama watoto wa Mudy maana wao ndo Wanapenda kuhadithiwa zaidi. Siku mliibadili nyingi miaka 300plus huko mbele na mmeandika wenyewe kwa ajili ya wakatoliki wote ulimwenguni kama Muongozo. Sema wavivu wa kusoma hiyo ndo shida ya mtu mweusi.....kaa usome na ufungue huo ubongo usibaki kwenye box moja tu. Get out of Matrix!!!1.
Kanisa haliabudu sanamu. Wakristo wa kwanza walikuwa wanasali sunday. Hakuna anayeabudu watakatifu. embu ingia ata google basi uondoe ujinga kidogo kwenye source za maana.
Ambao Mpumbavu Wewe wa hali ya Juu umeusoma Wote.Huu ujinga ni wa hali ya juu sana. Sana
Yote kheri mkuu kikubwa hakuna sheria ya nchi inavunjwa.Wewe jamaa acha uongo..kupiga magoti..kubusu sanamu ndio zenu.
#MaendeleoHayanaChama
Sikiliza wewe msabato au whatever you are. Acha kubebebeshwa conspiracy na mawakala wa shetani. The father of lies. Yani hicho ki app ulichoscreenshot sio Catechism kwanzia spelling mpaka content. Yani catechism ya kina Hellen G White. Hivi unaijua catechism sawasawa? suala la kuabudu siku ya kwanza ya juma yani sunday lilianza wakati wa Yesu soma Luka 24:51, Yesu alifufuka on sunday, alipaa on sunday, na alikuwa anatokea siku ya kwanza ya juma. Wakristo wa kwanza wote walikuwa wanasali jumapili. Sabato ya wayahudi inaheshimiwa lakini Yesu aliitengua. Msijichanganye. Wakristo wote misa yani breaking of bread walivokuwa wanaita zama hizo ambayo ndio kanisa kila jumapili wanafanya ilikuwa inafanyika hivo. Na sio council gani sijui umetoa wapi huo uzushi eti ndio iliyobadilisha siku. Soma acha uvivu alafu soma ukiwa huna bias yoyote kwenye source credible. Sio unasoma mambo ya Kanisa katoliki kwa wasabato alafu unategemea waandike nini? Wakati waasisi wao tu ni waongo.Ukishahadithiwa nenda kakae library zenu usome. Msiwe kama watoto wa Mudy maana wao ndo Wanapenda kuhadithiwa zaidi. Siku mliibadili nyingi miaka 300plus huko mbele na mmeandika wenyewe kwa ajili ya wakatoliki wote ulimwenguni kama Muongozo. Sema wavivu wa kusoma hiyo ndo shida ya mtu mweusi.....kaa usome na ufungue huo ubongo usibaki kwenye box moja tu. Get out of Matrix!!! View attachment 1965024
Ukiona adui anakusifia jitafakariKanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Chanzo: bavicha.tz
Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.
Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Ndo maana nakwambia wewe ni mvivu wa kusoma. Eti Yesu aliibadili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] "Yeye Alisema atayezishika Amri zangu" na moja wapo ni kuishika siku ya sabato... Ukitaka kubadili hiyo siku mwambie Mungu aumbe upya Dunia.Ndo nini sasa hicho umeandika?
Sikiliza wewe msabato au whatever you are. Acha kubebebeshwa conspiracy na mawakala wa shetani. The father of lies. Yani hicho ki app ulichoscreenshot sio Catechism kwanzia spelling mpaka content. Yani catechism ya kina Hellen G White. Hivi unaijua catechism sawasawa? suala la kuabudu siku ya kwanza ya juma yani sunday lilianza wakati wa Yesu soma Luka 24:51, Yesu alifufuka on sunday, alipaa on sunday, na alikuwa anatokea siku ya kwanza ya juma. Wakristo wa kwanza wote walikuwa wanasali jumapili. Sabato ya wayahudi inaheshimiwa lakini Yesu aliitengua. Msijichanganye. Wakristo wote misa yani breaking of bread walivokuwa wanaita zama hizo ambayo ndio kanisa kila jumapili wanafanya ilikuwa inafanyika hivo. Na sio council gani sijui umetoa wapi huo uzushi eti ndio iliyobadilisha siku. Soma acha uvivu alafu soma ukiwa huna bias yoyote kwenye source credible. Sio unasoma mambo ya Kanisa katoliki kwa wasabato alafu unategemea waandike nini? Wakati waasisi wao tu ni waongo.
Huyo si adui yake.... Islam = Catholic. Mmoja alimleta mwenzakeUkiona adui anakusifia jitafakari
kivipi shekhe wanguHuyo si adui yake.... Islam = Catholic. Mmoja alimleta mwenzake
Lini Papa aliunga mkono mashoga? Au wewe ni shoga?Ndio ukweli
Hata Papa alipotoa matamshi yenye mwelekeo wa kuunga mkono mashoga ilionekena wakristo wote ndio msimamo wao.
Hata Rwanda pale wapadre na watawa waliposhiriki mauwaji ilionekana wakristo wote wameshiriki.
Hivyo vyeo vya uaskofu, havipo kibiblia,
Huyo sheikh anatueleza Mambo yaliyo njee ya biblia
We chungulia vzr utaona wanafanana Sana hao. Kuanzia tasbihi aka rozali na mengineyokivipi shekhe wangu
Hili ndo wanasema litakuwa Takatifu na halitatikiswa na shetani huku kila siku ni ulawiti watoto tu[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23].