Ndo nini sasa hicho umeandika?
Sikiliza wewe msabato au whatever you are. Acha kubebebeshwa conspiracy na mawakala wa shetani. The father of lies. Yani hicho ki app ulichoscreenshot sio Catechism kwanzia spelling mpaka content. Yani catechism ya kina Hellen G White. Hivi unaijua catechism sawasawa? suala la kuabudu siku ya kwanza ya juma yani sunday lilianza wakati wa Yesu soma Luka 24:51, Yesu alifufuka on sunday, alipaa on sunday, na alikuwa anatokea siku ya kwanza ya juma. Wakristo wa kwanza wote walikuwa wanasali jumapili. Sabato ya wayahudi inaheshimiwa lakini Yesu aliitengua. Msijichanganye. Wakristo wote misa yani breaking of bread walivokuwa wanaita zama hizo ambayo ndio kanisa kila jumapili wanafanya ilikuwa inafanyika hivo. Na sio council gani sijui umetoa wapi huo uzushi eti ndio iliyobadilisha siku. Soma acha uvivu alafu soma ukiwa huna bias yoyote kwenye source credible. Sio unasoma mambo ya Kanisa katoliki kwa wasabato alafu unategemea waandike nini? Wakati waasisi wao tu ni waongo.