Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

watoza tozo ndio walimsurubu myahudi Jesus msalabani wakiongozwa na bosi wao Kaisari...Jesus alipinga sana haya mambo ya tozo tozo hizi na kufanya biashara kwenye mahekalu..
 
 
Kinachonifanya niipende katoliki ni mfumo wao wa uongozi katika kuendesha mambo ya kanisa, haya makanisa ya kilokole ni Mali ya watu yaani mtu mmoja ndiye anaamua kila kitu tofauti na wakatoliki, wakatoliki kanisa siyo Mali ya mtu binafsi kuna utaratibu wa kupitisha maamuzi
 

Hahah!!!

Hii ndio inayoitwa hoja hujibiwa kwa hoja?
 
 
MATHAYO 16:18-19 Haisemi Petro ni mwamba.

Kati ya Petro na YESU nani MWAMBA?

1WAKORINTHO 10:4, "Wote wakanywa kinywaji kile cha roho; kwa maana waliunywea MWAMBA wa roho uliowafuata; na MWAMBA ule ulikuwa ni KRISTO".

Tunaisoma BIBLIA na kuielewa kweli au TUNAIBAKA!?!!

mgen
 
Anayekwambia dhehebu lake ni la kweli, Muulize hivi;

1.DINI ni nini?

2.DINI YA KWELI NI IPI?

Akuonyeshe ilipoandikwa. Na imeandikwa wapi.
 
Tatizo watu hawasomi wamekaririshwa tu ujinga.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 

epuka kuongea sana ukaonesha ujinga wako , dini ya ukristu inaonesha njia sahihi muumini na kufuata hiyo njia ni kazi ya muumini , na kama vitabu vya dini vinavyosema "usihukumu maana na wewe utahukumiwa" nasi hatumuhukumu mtu maana mtoa hukumu ni mungu so mtu akiambiwa kanisa linatambua ndoa ya ke na me halaf yeye akaenda kuoana me kwa me au ke kwa ke basi hatumpi hukumu maana mtoa hukumu si mwanadama , na hii hali ndo inawafanya mseme ukristu unaruhusu ushoga maana dini zenu za kishetani eti mwanadamu ana toa hukumu kama mungu vile eti unamchinja kiumbe ambacho hujakiumba ( mnajikuta miungu watu wakati nanyi mtahukumiwa) , mwanadamu anampigania mungu ( uchizi ulioje) na mnasapoti , sheria zenu kali imefikia muda wadada zenu wa kiarabu wanatoa tigo ovyo ili kuilinda Bikra ( dini zenu ndo mnauhalalisha ushoga)
 
Gentamycin mwezi umeanza kuandama upopoma unachanua kichwani msimu wake huu
 
Wivu kitu mbaya sana
 
Acha ujinga uaskofu upo kwenye biblia umetajwa

Kwa point yako hata ugaidi unaungwa mkono na waislamu wote duniani
 
Halafu tabia yako ya kuweka # Hujui walioweka utaratibu huo ni Wakatoliki[emoji23][emoji23]
Weka mafungu[emoji13]
Upo kubishia bishia tu!
Kifupi Yesu Alikuwa Anaongea na nani?!
 
Halafu tabia yako ya kuweka # Hujui walioweka utaratibu huo ni Wakatoliki[emoji23][emoji23]
Weka mafungu[emoji13]
Upo kubishia bishia tu!
Kifupi Yesu Alikuwa Anaongea na nani?!
1WAKORINTHO 10:4
Ujue kutofautisha "Petro" ambayo ni "PETRA" yaani "JIWE DOGO" Kwa kiyunani. Siyo "MWAMBA" huo. Bali "MWAMBA" ni "KRISTO YESU" mwenyewe. [1WAKORINTHO 10:4]
 
Kuipigia magoti sanamu ya huyo mnaemuita bikira Maria sio kuabudu sanamu huko??
Hakuna mahali wakatoliki wanaipigia magoti sanamu ya bikira Maria mkuu. Check vizuri source za hiyo habari sio vyema kukashfu ilhali hata hujui unakashfu nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…