Umekutana lini na Mungu akakuthibitisha hilo?Sawa, ila MBINGUNI hautaenda kwa kuwa wewe ni mkatoliki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekutana lini na Mungu akakuthibitisha hilo?Sawa, ila MBINGUNI hautaenda kwa kuwa wewe ni mkatoliki.
Ni ujinga uliopitiliza kujivunia dhehebu badala ya kujivunia Yesu Kristo. Yesu hakuwa mkatoliki,Mluteli wala Muumini wa dini ya kiyahudi. Ndio maana aliingia hekaluni kufundisha na sio kufundishwa.Kwanini Wakristo msiokuwa Wakatoliki mna Chuki na Roho mbaya mno? Kwani hayo Madhehebu yenu hayakutokea huko Ukatolikini?
Au kwakuwa kuna Utafiti ulifanywa na kusema Wakatoliki wengi ndiyo very Intelligent na ndiyo Intellectuals zaidi duniani?
watoto utamsaidia kuleaMtu kuwa muislamu hakumfanyi kuwa sahihi anaposifia ukristo. Ukishindwa kutumia kichwa cha juu tumia hata cha nichi kidogo
papa amesema wapi anaunga mkono mashoga na kanisa likaridhia? Mapadre wangapi na watawa walioua watu Rwanda? Mnapenda sana kujifurahisha kwa kusema uongoNdio ukweli
Hata Papa alipotoa matamshi yenye mwelekeo wa kuunga mkono mashoga ilionekena wakristo wote ndio msimamo wao.
Hata Rwanda pale wapadre na watawa waliposhiriki mauwaji ilionekana wakristo wote wameshiriki.
Hivyo vyeo vya uaskofu, havipo kibiblia,
Huyo sheikh anatueleza Mambo yaliyo njee ya biblia
Soma historia ya Ukristo ndugu. Kanisa la Romani katoliki ni CHUKIZO mbele za Mungu. Kanisa hili ni karakana ya Shetani-ibilisi. OKOKA.Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Chanzo: bavicha.tz
Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.
Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Sasa unategemea mwislamu wa kweli anaweza kulisema vibaya Kanisa la Roma. Wote wawili ni machukizo mbele ya Bwana Yesu Kristo.Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Chanzo: bavicha.tz
Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.
Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Bwana Yesu Kristo kamwe hakuanzisha dini/Kanisa na wala hakuacha dini/Kanisa lolote hapa Duniani; bali, alileta habari njema ya WOKOVU kwa watu wote. Uroma katoliki/ Upapa umeanzishwa miaka 500 baada ya Bwana Yesu Kristo pamoja na mitume wake wote kuwa walikwisha ondoka Duniani. Ni dhehebu lililoanzishwa na waitaliano kwa maslahi ya kisiasa na kiuchumi ya waitaliano, baadaye wajerumani (Lutherani), waingereza (Anglikani) wakaiga. Romani katoliki haina uhusiano wowote na Kanisa/Ukristo wa karne ya kwanza wala mitume wa Bwana Yesu Kristo. Wanajibambika tu.Kwanini Wakristo msiokuwa Wakatoliki mna Chuki na Roho mbaya mno? Kwani hayo Madhehebu yenu hayakutokea huko Ukatolikini?
Au kwakuwa kuna Utafiti ulifanywa na kusema Wakatoliki wengi ndiyo very Intelligent na ndiyo Intellectuals zaidi duniani?
Wote ni Wapinga Kristo; tofauti yao ni kuwa waislamu wanampinga waziwazi kuwa siyo Mungu; wakatoliki wanampinga kwa kumwabudu kinyume na Mafundisho yake (ibada za sanamu, wafu, kuruhusu dhambi Kanisani, nk.). Ila tunawaombea ili wachukue hatua ya KUOKOKA kwani kila mtu atavuna alichopanda.Uislamu na ukatoliki unaendana kwa kiasi flani
VYEMELO Mkuu. Acha utundu.Wote ni Wapinga Kristo; tofauti yao ni kuwa waislamu wanampinga waziwazi kuwa siyo Mungu; wakatoliki wanampinga kwa kumwabudu kinyume na Mafundisho yake (ibada za sanamu, wafu, kuruhusu dhambi Kanisani, nk.). Ila tunawaombea ili wachukue hatua ya KUOKOKA kwani kila mtu atavuna alichopanda.
Kwani Biblia Takatifu ni Neno Pekee la Mwenyezi?!Biblia hpi na mstali hupi?