Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

HIZI MADA ZA KUSHABIKIA UDINI UDINI SIO NJEMA... HASA KWA TAIFA LETU TANZANIA.....chokochoko...
 
Yesu sio Mungu bali ni Mtume tu wa Mungu na wala si mtoto Wa mungu.Sisi Waislamu hatumpigi Yesu (Nabii Issa Bin Maryam) Ktk Uislamu Mitume yote Tunawakubali hatupingi hata Mtume mmoja .
 
1WAKORINTHO 10:4
Ujue kutofautisha "Petro" ambayo ni "PETRA" yaani "JIWE DOGO" Kwa kiyunani. Siyo "MWAMBA" huo. Bali "MWAMBA" ni "KRISTO YESU" mwenyewe. [1WAKORINTHO 10:4]
Mbona jujibu swali??
Yesu Alikuwa Anaomgea na Nani??[emoji101][emoji101][emoji101]
 
Mbona jujibu swali??
Yesu Alikuwa Anaomgea na Nani??[emoji101][emoji101][emoji101]
Huna macho?
Mahali BIBLIA TAKATIFU ilipoweka NUKTA usiongeze alama ya kuuliza.

Nimekwambia MWAMBA ni KRISTO YESU wala si Petro.

Kwa nini unatafuta kichaka!?!!
 
Hata maandiko yanasema kwny u unabii hili ndio kanisa lenye umiliki wa Freemasons,lipo nyuma na halionekani ila limejificha kwny udini na ni kanisa litakalokuja kulazimisha kuabudu siku ya J2 siku ya Kwanza ya juma,kitabu Cha ufunuo na Daniel kimeweka waz
i
 
Papa yupi ?lini? wapi? acha kuropoka vitu usivo na uhakika navyo. Hakuna kanisa linalokemea waziwazi vitendo vya ushoga na utoaji mimba kama Katoliki. Na linapigana vita vikubwa sana duniani kwasababu ya misimamo yake. Acha kusema maneno ya vijiweni.
 
Hakuna mahali wakatoliki wanaipigia magoti sanamu ya bikira Maria mkuu. Check vizuri source za hiyo habari sio vyema kukashfu ilhali hata hujui unakashfu nini.
Wewe utakuwa sio mroma kiongozi wangu
 
Ufafanuzi jana usiku nilikua naangalia TBC walikua wanaelezea kanisa fulani la RC Kibosho aise kuna michoro sijaielewa

Nimeona Mchoro una duara then ndani ya duara kuna Pembe tatu na Jicho kati kati....[emoji3064][emoji3064]Aisee..

Ngadedema!!!!!
Roman Catholic ni devil worshipers
 
Yaani wewe jamaa hujui kitu chochote kuhusu Roman Catholic
 
Hata ujinyee, ukweli ndo huo.

Hayo matamshi alotoa papa tuwekee hapa,
 
Na wakatoliki huwa wanapata sana mashambulizi ya kiimani toka kwa dini na imani zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…