Tukiwaambia Hizo Simu Zenu za 1-5m ni Mitajji Mnatuita Motivational Speakers!

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
60,337
Reaction score
138,962
Iko hivi 2025 yote kila mwezi au miezi miwili nilikuwa naagiza mzigo mdogo China. Hii ni kama side business ambayo wateja wangu kwa uhitaji wao walinishauri niwaletee hivi vitu.
Mzigo wa mwisho nilitumia 1.8m kununua na mzigo kunifikia. Mzigo ulikuwa na items kama 185. Huu mzigo wote niliuza na kupata around 6.5m. China vitu bei rahisi sana. Na sio lazima uende.
Sada hapo unaweza kuona ka mtaji ka chini ya 2m kanazalisha 6.5m. Hivi iPhone bei gani?
Uzi tayari.
Cc Chivundu
 
secretarybird
min -me
Monetary doctor
 
Utakuwa umesaidia watu wengi sana kama utashare details zaidi kama kweli lengo lako ni kusaidia kufungua watu macho.
Lakinj kwa namna ulivyoiweka ni kama kuwapopoa watu wenye simu za 1-5M
 
Iko hivi 2025 yote kila mwezi au miezi miwili nilikuwa naagiza mzigo mdogo China. Hii ni kama side business ambayo wateja wangu kwa uhitaji wao walinishauri niwaletee hivi vitu.
Mzigo wa mwisho nilitumia 1.8m kununua na mzigo kunifikia. Mzigo ulikuwa na items kama 185. Huu mzigo wote niliuza na kupata around 6.5m. China vitu bei rahisi sana. Na sio lazima uende.
Sasa hapo unaweza kuona ka mtaji ka chini ya 2m kanazalisha 6.5m. Hivi iPhone bei gani?
Uzi tayari.
Cc Chivundu
Hayo ma-BMW na Mercedes Benz unayoandikaga humu ni mtaji wa kilimo. Mwaka huu kaulize January kipeto cha viazi chips kimeuzwa bei gani.

Mtaji 2.5 or below kwa ekari, kipeto kimoja kimeuzwa hadi 100k majuzi tu hapo. Ekari moja unatoa vipeto zaidi ya 70 hadi 90 ukilima kwa kuzingatia. Kuna mtu kila ekari katoa 8.3M alilima ekari 15.

Kwa vile umeshauri wenye simu za bei wauze waagize vitu China, nami nakushauri uza gari moja la gharama kisha nunua Passo hiyo nyingine tia shambani.
 
Maelezo mafupi mno mkuu, ongeza maelezo hapo umesema km unawasuta watu fulani kuwaonyesha kwamba wewe ni zaidi wakati lengo lako halikua hilo, ongeza maelezo
Provocative I guess. Inasaidia kuchangamsha mjadala. Lengo ni kuwaonesha vijana hela ndogo inaweza kufanya kitu na ukaweza kufanya makubwa zaidi baadae.
 
Hayo ma-BMW na Mercedes Benz unayoandikaga humu ni mtaji wa kilimo. Mwaka huu kaulize January kipeto cha viazi chips kimeuzwa bei gani.

Mtaji 2.5 or below kwa ekari, kipeto kimoja kimeuzwa hadi 100k majuzi tu hapo. Ekari moja unatoa vipeto zaidi ya 70 hadi 90 ukilima kwa kuzingatia. Kuna mtu kila ekari katoa 8.3M alilima ekari 15.

Kwa vile umeshauri wenye simu za bei wauze waagize vitu China, nami nakushauri uza gari moja la gharama kisha nunua Passo hiyo nyingine tia shambani.
Nina ekari zinanitosha. By the way sijashauri mtu auze simu yake. Kwanza wenye iPhone za maana humu wanahesabika.
 
Back
Top Bottom