Masagala
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 4,663
- 9,335
Kilimo pia ni kubet tu.Hayo ma-BMW na Mercedes Benz unayoandikaga humu ni mtaji wa kilimo. Mwaka huu kaulize January kipeto cha viazi chips kimeuzwa bei gani.
Mtaji 2.5 or below kwa ekari, kipeto kimoja kimeuzwa hadi 100k majuzi tu hapo. Ekari moja unatoa vipeto zaidi ya 70 hadi 90 ukilima kwa kuzingatia. Kuna mtu kila ekari katoa 8.3M alilima ekari 15.
Kwa vile umeshauri wenye simu za bei wauze waagize vitu China, nami nakushauri uza gari moja la gharama kisha nunua Passo hiyo nyingine tia shambani.