Tukiwaambia Hizo Simu Zenu za 1-5m ni Mitajji Mnatuita Motivational Speakers!

Nilikuwa natumia Techno hadi siku simu ya 1M+ ilipokuwa basic need.

Ushauri wako ni bora. Ila ubora wa ushauri wako unakuwa unboxed kuelezea techniques za kufanya huo mchongo.

Kwa uzoefu wangu watu wanasimu za mamilioni kwa sababu nyingi.

1: Wadada wa kisasa wanatumia kama kifaa cha uzuri. Ili wakipata Bwana basi awakadilie kadilio la juu na posho nzitonzito kidogo.

2: Wanaume wenye kupenda hadhi ili watafute muonekano wa kitajiri.

3: Wengine ni wapenzi wa kupiga picha basi wanapenda kujipiga picha nzuri watu wawaone.

4: Wengine matapeli. Wanatafuta kuaminika ili waited dili kubwakubwa.

5: Wengine wanapewa ofisini kutokana na hadhi au managerial position waliyoko.

6: Wengine wanapewa zawadi au hangout hivyo hawajatupia pesa zao huwezi kuwalaumu.

7: Wengine wanapenda vitu vizuri kwa asili hivyo wanambinu hata za kuuungaunga kupata vitu vya pharmacy kwa bei nafuu.

8: wengine wamejua biashara hawawezi bora wajifurahishe huku wanasubiri kifo

Mimi simu yangu nikama PC huwezi kuniona hata nimeishika mkononi maana kuwasiliana ni matumizi namba mbili.

Ila nashauri bajeti ya vyombo vya mawasiliano isiingizwe kwenye biashara. Mitaji ibaki kama mitaji na biashara kama biashara.
Mnaangalia angle moja,simu. Simu nimeitaja ili uone jinsi hela ndogo kama ya kununulia simu inaweza kuzalisha kijibiashara kidogo. Ni ushauri kwa wanaojitafuta sio kwa matajiri wa JF.
 
Ninaemtumia nilimpata Insta. In fact alinifuata yeye baada ya kuona anachozalisha ndio nauza.
Katika vitu ambavyo sifanyi humu JF ni kumuunganisha mtu maanake akivuruga huko atakuja kuanzisha thread katapeliwa na mimi. So naonesha possibilities.
Sahihi kabisa mkuu!!
 
Mbona umecheka mkuu?
Nyie wazee mnapenda utani kinyama. Binafsi naunga mkono mleta uzi. Mtu ana kipato cha chini ya USD 10000 kwa mwaka ananunua simu ya zaidi ya laki 5 ili nini? Hii tabia ya kutokuwa na vipaumbele vya maendeleo ndo inachangia serikali kutumia mabilioni kununua magari ya kifahari huku mambo muhimu yakiwa hayajafanyika. Ikumbukwe serikali inatokana na sisi. Hawa viongozi wametoka kwenye familia zetu. Kama tunatetea kununua simu za bei mbaya badi tusilalamike kuona kiongozi akiwa kwenye LC300 kwenda kuzindua matundu manne ya choo cha shule ya msingi Naura.
 
😄😄 we mzee
Rastafarian Wana msemo wao...
"Do not kill any living being or allow suffering."

NB. Kuna kisa cha Buddha mmoja alikua anaokoa uhai wa Scorpion 🦂 kwa kutumia mkono.. Scorpion alikua anatumbukia kwenye mto.. yule Scorpion Kila akipeleka mkono Scorpion anapeleka mkia kumu n'gata.. funzoo ilo lingine.
 
Kuna kitu hakiko sawa hapa ingawa kuna mwamba mmoja alikuja akanyoosha maelezo uzi upo humu, kuna watu wameumbwa na choyo ya asili anataka yeye ndio awe wa kupata sio wengine

RRONDO hicho ndicho nilichotaka ukielezee vizuri mkuu sio kingine hayo mambo ya wateja wengine wana vipaji vya kusaka wateja more than you think

Ushanielewa mkuu RRONDO km hivi

Wenzio hawafungi wanafungua sawa RRONDO

Hawana Negative ni Positive only sawa mkuu
 
Nyie wazee mnapenda utani kinyama. Binafsi naunga mkono mleta uzi. Mtu ana kipato cha chini ya USD 10000 kwa mwaka ananunua simu ya zaidi ya laki 5 ili nini? Hii tabia ya kutokuwa na vipaumbele vya maendeleo ndo inachangia serikali kutumia mabilioni kununua magari ya kifahari huku mambo muhimu yakiwa hayajafanyika. Ikumbukwe serikali inatokana na sisi. Hawa viongozi wametoka kwenye familia zetu. Kama tunatetea kununua simu za bei mbaya badi tusilalamike kuona kiongozi akiwa kwenye LC300 kwenda kuzindua matundu manne ya choo cha shule ya msingi Naura.
Naunga mkono hojaaa
 
Hahaha ,kila mtu anavipaumbele vyake mkuu, kuna wengine hata hatujawahi kutamani kuwa matajiri zaid ya kuishi ndani ya basic needs tu , ili maisha yawe na maana lazima kuwa na vipaumbele tofauti tofauti kati ya mtu na mtu.
 
Mnaangalia angle moja,simu. Simu nimeitaja ili uone jinsi hela ndogo kama ya kununulia simu inaweza kuzalisha kijibiashara kidogo. Ni ushauri kwa wanaojitafuta sio kwa matajiri wa JF.
Kwa angle ya pili mimi nakupongeza sana. Hizi ndio nyuzi za kushare kufungua watu. Watu wengi wanauwezo wa kupata fedha ila mbinu za kuzifanya zilete fedha zaidi wanazo watu wachache sana.
Ndio maana wanakimbilia kujenga nyumba zisizoisha au kununua vifaa vya kuwaonyesha wanazo ( Liabilities).

Sikuandika kukupinga bali nilitoa mtazamo wangu kwa nini watu wanamiliki simu kubwa. Ila kwa upande wa mafunzo ya somo mwenyewe ni mwanafunzi wa huu uzi
 
Kwani imekuwaje Mapembelo cargo? Kampuni imekufa? Au imefirisiwa? Au meli ilizama? T14 Armata
Kampuni ilifirisika na pia nahisi ilifanyiwa figisu kiasi chake. Kampuni watumishi wengi ni Wakinga, ofisini ni mwendo wa Kamwene! Kamwene!

Mapembelo walikuwa wanasifika kwa kuwahisha loose cargo, ambazo Silent Ocean huwa wanachelewesha wao ni wazuri kwa makontena full. Na pia Mapembelo walikuwa wanagandamiza vizuri bale za nguo, nguo nyingi zinakuja kwenye bale moja na walikuwa bei chini kidogo kwa bei dhidi ya Silent Ocean. Soko la nguo Kariakoo limetekwa na Wakinga, ukichangia na kujuana wakajazana Mapembelo kuagiza. Na waagizaji wengine wa aina nyingine na mizigo mingine. Kampuni ilipokufa mizigo iliibiwa, au ikapotea, au kulikuwepo na madeni bandarini mizigo ikakamatwa. Yote kwa pamoja yanawezekana.
 
Nyie wazee mnapenda utani kinyama. Binafsi naunga mkono mleta uzi. Mtu ana kipato cha chini ya USD 10000 kwa mwaka ananunua simu ya zaidi ya laki 5 ili nini? Hii tabia ya kutokuwa na vipaumbele vya maendeleo ndo inachangia serikali kutumia mabilioni kununua magari ya kifahari huku mambo muhimu yakiwa hayajafanyika. Ikumbukwe serikali inatokana na sisi. Hawa viongozi wametoka kwenye familia zetu. Kama tunatetea kununua simu za bei mbaya badi tusilalamike kuona kiongozi akiwa kwenye LC300 kwenda kuzindua matundu manne ya choo cha shule ya msingi Naura.
Kuna wakati unaongea hoja za maana sana...!
 
Kampuni ilifirisika na pia nahisi ilifanyiwa figisu kiasi chake. Kampuni watumishi wengi ni Wakinga, ofisini ni mwendo wa Kamwene! Kamwene!

Mapembelo walikuwa wanasifika kwa kuwahisha loose cargo, ambazo Silent Ocean huwa wanachelewesha wao ni wazuri kwa makontena full. Na pia Mapembelo walikuwa wanagandamiza vizuri bale za nguo, nguo nyingi zinakuja kwenye bale moja na walikuwa bei chini kidogo kwa bei dhidi ya Silent Ocean. Soko la nguo Kariakoo limetekwa na Wakinga, ukichangia na kujuana wakajazana Mapembelo kuagiza. Na waagizaji wengine wa aina nyingine na mizigo mingine. Kampuni ilipokufa mizigo iliibiwa, au ikapotea, au kulikuwepo na madeni bandarini mizigo ikakamatwa. Yote kwa pamoja yanawezekana.
Kumbe hii kampuni ilishakufa!
 
Kuna kitu hakiko sawa hapa ingawa kuna mwamba mmoja alikuja akanyoosha maelezo uzi upo humu, kuna watu wameumbwa na choyo ya asili anataka yeye ndio awe wa kupata sio wengine

RRONDO hicho ndicho nilichotaka ukielezee vizuri mkuu sio kingine hayo mambo ya wateja wengine wana vipaji vya kusaka wateja more than you think

Ushanielewa mkuu RRONDO km hivi

Wenzio hawafungi wanafungua sawa RRONDO

Hawana Negative ni Positive only sawa mkuu
Sawa.
 
Back
Top Bottom