Tukiwaambia Hizo Simu Zenu za 1-5m ni Mitajji Mnatuita Motivational Speakers!

Tukiwaambia Hizo Simu Zenu za 1-5m ni Mitajji Mnatuita Motivational Speakers!

Ni kwamba kwenye maisha unaweza kutumia kitu unachoona kina thamani ndogo au usichokipa kipaumbele na kukiona ni kidogo then kikakutoa, as long as Una Nia basi utajua Tu Kwa hiki kidogo nilicho nacho nitauza wapi...Ukijikuna mahali unapoweza surely unatoboa kama kweli umedhamiria, ukidhamiria unaweza kupata exposure utatoboa, changamoto kubwa ya watz ni exposure, wengi wetu hatuko aggressive kwenye fursa, tunafanya mambo vile vile miaka nenda rudi...

Miaka hii ya teknolojia bado kuna mfanyabiashara wa Kati hajawahi kwenda hata China au mashariki ya mbali kwaajili Tu ya kutembea, kushangaa na kujifunza, hii ni hatari...
 
Alhamdullah mmefikiana sasa hapo nimeshukuru maana niliambia Negative

RRONDO
Kumbe haya maneno yanakuingia sana. Hio negative maana yake ni NO. Yaani wrong answer. Sio negativity. Life is too short.
 
Back
Top Bottom