AlibabaUpo sahihi ila utata upo kwenye kupata hiyo connection ya kuagiza mzigo china.
Similiki simu ya bei
Unampatia wap kirahisi hivyoAlibaba
Tafuta mchina wako mmoja muaminifu
Wewe unatembelea gari la billion ngapi?Wewe huna hela ...watu wenye hela hawana hata muda wa ku brag humu...unachukua mzigo wa milioni tu kelele kibao hadi mimate..wanaochukua mizigo ya bilioni 3 hawana hata muda ..unazungumzia iphone? Watu wanatembelea gari za bilion unaongelea iphone ya maana?
Ni changamoto sana mkuuHiyo siyo utata, utata upo katika kupata wanunuzi. Kuagiza ni rahisi sana sawa na kunywa maji ya dawasco
Hapo kwa akili yako unasubiria upate ajira kama waziri wa wizara flani hivi , ukimiliki majumba na akaunti zilizonona.Jombaaa fanya maisha yako...🚮
Njoo prime ministerKazi unayo…
KunaniNjoo prime minister
Fuata nyukiKunani
Una akili kubwa mkuu😅Mimi huwa naongea points tupu sema wengi wenu uwezo mdogo wa kiakili ni mdogo hivyo mara nyingi mnakuwa hamuelewi.
Anza kumlipia kulekuke AlibabaUnampatia wap kirahisi hivyo
Sawa mkuuAnza kumlipia kulekuke Alibaba
Ngoja niuze kisimu changu niifanye mtaji.
Hakuna lolote bragging tu hapa naona...Huenda hujamuelewa mtoa madax na hii mada huenda hata sio kwa ajili yako.
Ameongea kitu kizuri kwa wanaojitafuta.
Wewe mwenyewe una stroke utaniambia nini ..una nini Yani ...fala wewe. ..Hapo kwa akili yako unasubiria upate ajira kama waziri wa wizara flani hivi , ukimiliki majumba na akaunti zilizonona.
Acha kuota fanya kazi.
Nina baiskeli za Samia...Wewe unatembelea gari la billion ngapi?
Unatishia kujamba huku unaharisha Budda.Nina baiskeli za Samia...
Nyie mnajua wenye hela nyie 😂😂 mzigo wa milioni china unatujazia Seva za jf.? Watu wnachukua makontena 100 mamaeh..hata hawafungui midomo ..pumbavu kabisa ..halafu zaidi unawasimanga watu wenye simu zao...pesa ni zao wamenunua ..wewe inakuuma nini na husda zako ...
Ndio MASKINI mwenzangu.Unatishia kujamba huku unaharisha Budda.