Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Rubbish talkNyie wazee mnapenda utani kinyama. Binafsi naunga mkono mleta uzi. Mtu ana kipato cha chini ya USD 10000 kwa mwaka ananunua simu ya zaidi ya laki 5 ili nini? Hii tabia ya kutokuwa na vipaumbele vya maendeleo ndo inachangia serikali kutumia mabilioni kununua magari ya kifahari huku mambo muhimu yakiwa hayajafanyika. Ikumbukwe serikali inatokana na sisi. Hawa viongozi wametoka kwenye familia zetu. Kama tunatetea kununua simu za bei mbaya badi tusilalamike kuona kiongozi akiwa kwenye LC300 kwenda kuzindua matundu manne ya choo cha shule ya msingi Naura.