Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume)
wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni ana walinzi.Angalia ibada za Geodav na kiboko ya wachawi.
Zaidi ya yote ukifika kwenye familia zao licha ya kuwa na Cctiv camera,walinz,i mbwa wa kali wa kizungu bado anakuwa na fensi ya umeme!!
Huku sisi hata mbwa koko hatuna tuna amini tunalindwa na Mungu na malaika zake kwanini hawa watumishi wasilindwe na malaika vilevile kama sisi?
Pale MADINA(makka) wanaponenda kuhiji waislamu panalindwa na bunduki ulinzi ni mkali masaa24 ni zaidi ya ikulu wala hakuna ubishi.Ina maana mwenyezi Mungu hatoshi kupalinda pale hadi serikali iweke bajeti kubwa kwa ajiri ya kuparinda pale?
Ebu tujiulize wao hawapendi kulindwa na malaika?
Au malaika ni dhaifu sana kuliko mbwa na bodyguard?
Kwanini makanisani tusisali na kuomba kuwa haya makanisa yalindwe na malaika na kuepusha michango kwa ajiri ya kulipa walinzi?
Je kuna sababu zozote za msingi hasa kimaandiko zinazo weza kutetea hili?
View: https://www.facebook.com/permalink.php?id=1034459669967235&story_fbid=3860610510685456