Mnyama Q
JF-Expert Member
- Jun 15, 2019
- 453
- 510
Hutaki kujifunza unataka kubishana.Yesu kipindi anakamatwa walinzi wake walikuwa wapi? vipi kuhusu stefano,sila napaulo walinzi wao walikuwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hutaki kujifunza unataka kubishana.Yesu kipindi anakamatwa walinzi wake walikuwa wapi? vipi kuhusu stefano,sila napaulo walinzi wao walikuwa wapi?
Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume)
wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni ana walinzi.Angalia ibada za Geodav na kiboko ya wachawi.
Zaidi ya yote ukifika kwenye familia zao licha ya kuwa na Cctiv camera,walinz,i mbwa wa kali wa kizungu bado anakuwa na fensi ya umeme!!
Huku sisi hata mbwa koko hatuna tuna amini tunalindwa na Mungu na malaika zake kwanini hawa watumishi wasilindwe na malaika vilevile kama sisi?
Pale MADINA(makka) wanaponenda kuhiji waislamu panalindwa na bunduki ulinzi ni mkali masaa24 ni zaidi ya ikulu wala hakuna ubishi.Ina maana mwenyezi Mungu hatoshi kupalinda pale hadi serikali iweke bajeti kubwa kwa ajiri ya kuparinda pale?
Ebu tujiulize wao hawapendi kulindwa na malaika?
Au malaika ni dhaifu sana kuliko mbwa na bodyguard?
Kwanini makanisani tusisali na kuomba kuwa haya makanisa yalindwe na malaika na kuepusha michango kwa ajiri ya kulipa walinzi?
Je kuna sababu zozote za msingi hasa kimaandiko zinazo weza kutetea hili?
View: https://www.facebook.com/permalink.php?id=1034459669967235&story_fbid=3860610510685456

Unaweza kuwa na point lakini soma kisa hiki ujifunze kati ya hawa wasasa na ELIYA nani alikuwa na maadui kiasi kwamba mfalme atume jeshi lake ili limkamate Elisha.kiongozi wa dini anapambana na maadui wengi sana, hasa wa kiroho. hata mlokole wa kawaida tu aliyesimama vizuri ana maadui wengi sana. mfano hata mimi binafsi, kuna watu wameenda kwa waganga, wameloga hadi wamemaliza pesa, ila wamedunda. kuna mitaa mingine ukienda, hati nguvu za giza zinashindwa kufanya kazi vizuri. mtumishi wa Mungu Bonke kama unamkumbuka, alikua akija nchini kwako, hadi baadhi ya viwanda vinastop, hasa vile vinavyotumia mauchawi, wachawi wanashindwa kuruka vizuri, hivyo tegemea wachawi ambao uchawi wao wameutolea garama kubwa sana, wanaweza kukujia kimwili wakikushindwa kiroho. kuna mitaa hata hapa bongo unapoishi, jua kile mtaa kuna mkuu wa anga, wameenda kwenye hyerachy hadi juu, wana shughuli zao za kishetani, uwepo wako unawafanya washindwe mambo mengi sana au wapite njia nyingine. wakikushindwa kiroho wanaweza kuja kimwili kwa bunduki au kisu kabisa. ilishatokea maeneo mengi tu watumishi kushambuliwa individually kabisa. vilevile inasaidia kutengeneza distance na watu unajua ukizoeleka saba inapunguza hata heshima. hata Yesu wale thenashara wake 12 pamoja na wanafunzi kibao karibia 70 walikuwa wanamzunguka kumtumikia na kumlinda pia. unakumbuka hata petro alichofanya pale getsemane, kata sikio la mmoja. kina Paulo na wengine mara nyingi sana walivamiwa na kupigwa kwa sababu ya imani yao tu. yaani kuna mtu tu mwengine sio mchawi wala lolote ila tu ni katili asiyependa ulokole, nimeshakutana na watu wanauchukia ulokole na walokole kuliko chochote na wanaweza kufanya lolote dhidi yao. mtu anaongea toka moyoni kabisa kwa chuki ya hali ya juu dhidi ya walokole.
sio wote wanaolindwa ni mambo yasiyopasa, though kuna wengine sio watumishi wa Mungu ni wapiga pesa tu wauza mafuta na maji na manabii wa uongo, wanakuwa hivyo hadi wanachukua utukufu wa Mungu, wanatukuzwa mno. kwenye kundi jua kiongozi ndiye anawindwa kuliko wengine.
Ni sisi wakristo na waislamuUsiseme sisi, sema wewe, wengine sisi huo ujinga hapana!
danger
Umeuliza nisicho kiandika kabisa.Kwani dini imekuzuia kuwa na ulinzi?
Ni sisi wakristo na waislamu
Nenda kanisa la Dodoma kati (central) saa3 usiku kama hutakuta walinzi paleWasabato hatuna Walinzi.
Ni sawa ndio maana nikasema sisi weqwe kama haumo kwenye hizi dini basi umeengia cha kike tu hapakuhusu mkuuNyie wakristo na waislam wajinga, sio mimi lakini
kakobe aliishia wapi mkuuGeodevie ndio alianzisha tight security kama rais japo kakobe alikuwa na ulinzi mkubwa pale kwenye mageti ya kanisa lake mwenge. Wengine nao wakaiga mbwembwe za ulinzi. Kakobe ilikuwa akienda congo analindwa na wanajeshi kama rais. Hawa walinzi wa wahubiri kasoro yao hawana silaha za kuonekana kwa macho ila wachunguji wengine kama kina gwajima wana bastola wale. Sasa kama wachungaji, mitume na manabii wanajilinda kimwili sisi waumini tufanyaje?
Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume)
wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni ana walinzi.Angalia ibada za Geodav na kiboko ya wachawi.
Zaidi ya yote ukifika kwenye familia zao licha ya kuwa na Cctiv camera,walinz,i mbwa wa kali wa kizungu bado anakuwa na fensi ya umeme!!
Huku sisi hata mbwa koko hatuna tuna amini tunalindwa na Mungu na malaika zake kwanini hawa watumishi wasilindwe na malaika vilevile kama sisi?
Pale MADINA(makka) wanaponenda kuhiji waislamu panalindwa na bunduki ulinzi ni mkali masaa24 ni zaidi ya ikulu wala hakuna ubishi.Ina maana mwenyezi Mungu hatoshi kupalinda pale hadi serikali iweke bajeti kubwa kwa ajiri ya kuparinda pale?
Ebu tujiulize wao hawapendi kulindwa na malaika?
Au malaika ni dhaifu sana kuliko mbwa na bodyguard?
Kwanini makanisani tusisali na kuomba kuwa haya makanisa yalindwe na malaika na kuepusha michango kwa ajiri ya kulipa walinzi?
Je kuna sababu zozote za msingi hasa kimaandiko zinazo weza kutetea hili?
View: https://www.facebook.com/permalink.php?id=1034459669967235&story_fbid=3860610510685456
Ni sawa ndio maana nikasema sisi weqwe kama haumo kwenye hizi dini basi umeengia cha kike tu hapakuhusu mkuu
Pengine hawamtumikii Mungu ila wanaitumikia miungu mingine.hili suala hua najiuliza sana, unakuta fence kubwa unajiuliza ina maana huyo mungu wao hana uwezo wa kulinda?