Tukiweka pembeni ufia Dini kwanini makanisani kuna walinzi na viongozi wa dini wana walinzi lakini sisi waumini tunaambiwa malaika watatulinda?


Usiseme sisi, sema wewe, wengine sisi huo ujinga hapana!
 
Kwani dini imekuzuia kuwa na ulinzi?
 
Unaweza kuwa na point lakini soma kisa hiki ujifunze kati ya hawa wasasa na ELIYA nani alikuwa na maadui kiasi kwamba mfalme atume jeshi lake ili limkamate Elisha.

2wafame6:15Mtumishi wa Elisha alipoamka mapema kesho yake na kutoka nje, akaona jeshi pamoja na farasi na magari ya kukokotwa limeuzingira mji. Akarudi ndani akasema, “Ole wetu, ee, Bwana wangu! Sasa tutafanya nini?”
16Elisha akamjibu, “Usiogope kwa sababu walio pamoja nasi ni wengi kuliko walio pamoja nao.” 17Kisha Elisha akaomba, “Ee Mwenyezi-Mungu, umfumbue macho ili apate kuona!” Basi, Mwenyezi-Mungu akamfumbua macho huyo kijana, akaona farasi na magari ya moto yakiwa kila mahali katika mlima wote, kumzunguka Elisha.
 
Ni viongozi wenu hao MATAPELI.

Wasabato hatuna Walinzi.


Bwana asipolinda Nyumba yako, ni kazi Bure.
 
kakobe aliishia wapi mkuu
 
Dini ndo project kubwa ya kitapeli Duniani.
 
Ni sawa ndio maana nikasema sisi weqwe kama haumo kwenye hizi dini basi umeengia cha kike tu hapakuhusu mkuu

Nipo kwenye Imani ya Kikristo na ni Mkristo safi naenda Kanisa ila sio mpumbavu Kama nyinyi!

Ina maana makanisa yote ya nafanya hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…