Tukiweka pembeni ufia Dini kwanini makanisani kuna walinzi na viongozi wa dini wana walinzi lakini sisi waumini tunaambiwa malaika watatulinda?

Unasema watumishi wanalindwa na bodyguards kwani wew umezuiwa kuwa na bodyguards?
Hakuna mahali popote kwenye andiko hili nimesema watumishi sisi wametuzuia.Hoja yangu ni kwamba kwanini wao walindwe ili hali sisi wanatuambia tutalindwa na malaika?

Je ni mtumishi yupi wa Mungu alikuwa na bodyguard?
 
Ni kweli usemayo hata wewe unapaswa umuombe mungu riziki na uache kufanya kazi urelax tu
 
Ni kweli usemayo hata wewe unapaswa umuombe mungu riziki na uache kufanya kazi urelax tu
Maandiko yanasema "Fanya kazi siku sita" Hakuna andiko lisemalo u relax halipo.Paulo alienda mbali zaidi kwa kusema "Asiye fanya kazi na asile" maana yake afe kabisa. Ipi hoja yako mkuu?
 
Paulo!!! Paulo ndo nani
Hoja yako ni ipi? Mungu kasema fanya kazi siku sita hajawahi sema u relax tu.

Paulo ni mtume wa yesu aliyenadika nyaraka nyingi zaidi kuliko mtume yeyote yule!!



waraka wa paulo kwa waefeso 1:1

Kutoka kwa Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu. Kwa watu wa Mungu walio waaminifu kwa Kristo Yesu. 2 Nawa takieni neema ya Mungu na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo. 3 Asifiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo ambaye ametu bariki sisi kwa kila baraka za kiroho zitokazo mbinguni tukiwa ndani ya Kristo
 
Sawa
 
Usichanganye Ukristo na wafanyabiashara wa Ukristo.

Ni hakika wote wajiitao manabii sijui mitume wote ni wafanyabiashara ndio maana wana ukwasi na hofu nyingi kiasi cha kulindwa
Ukristo upi haufanyi biashara?
 
Mmarekani ndio Bin Adam wa kwanza kuweka unyayo wake Mwezini.
 
W
Wewe ni kanisa gani ndugu?Na kiongozi wako mwenye ulizi ni yupi?Na mara ngapi waumini mmeambiwa mtalindwa na malaika?
 
Matapeli na mafisadi wa dini hawawezi lindwa na ROHO MTAKATIFU, ndyo maan lazima walindwe na mabaunsa (nguvu ya ki-ulimwengu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…