KERATO MOMBAA
Senior Member
- Feb 4, 2025
- 161
- 227
KUNA UMHM WA KUSOMA BIBLIA.. KAA UKIJUA SISI WAKRISTO TU WAFUASI WA YESU.Ni mfumo tu wa Mungu, hata huko Mbinguni kwa Mungu Mkuu kuna walinzi wanaomlinda Muumba wa vyote, ila hao walinzi wenyewe hawana ulinzi wa moja kwa moja.
Haya bhana 🤣Du kumbe kuna shekh kuku huku mimi nilijua tuna shekh mandazi muhuni na msela cheki bobu adriz
Hilio ndo jibu la nabii , muumini Kaa chonjoChochote chenye thamani kinalindwa, sasa wewe huna influence hata kwa familia yako unataka ulinzi wa nini 💩 mbweha wewe utalindwa na malaika
mimi ni mkristoW
Wewe ni kanisa gani ndugu?Na kiongozi wako mwenye ulizi ni yupi?Na mara ngapi waumini mmeambiwa mtalindwa na malaika?
Madaraka ya kiduniaVita yenu waamini/waumini ya kiroho...
Vita ya Viongozi either wa kiserikali au ya kidini ni ya Roho na Mwili.
Tuanzie hapa... Ni kitu gani kinachoweza kukufanya ukahitaji bodyguard ili hoja yako ilete mashiko.
Mfalme Constantine alipoupokea ukristu alimaanisha kupiga pesa na si vingenevyo. Mungu wa kweli hayupo hapo kanisani, atakaaje kwenye biashara za watu?M23 wanamuwinda Tishe kwa udi na uvumba ila sio akina Awilo.
Hakuna jibu la maana nililopewa hadi sasa.Maana yake ni utapeliDini zina watu wajanja wajanja sana
Na Mungu huyo huyo umuombe abariki biashara yako na ailinde.atakaaje kwenye biashara za watu?
vatican pia hailindwi?Romani catholic Askofu au padre halindwi hata na mgambo. hata ukienda kwao hasa hizi parokia za vijijini hakuna walinzi kabisa amani amani tu.
Huu ndo ukristo wenyewe