Tukiweka pembeni ufia Dini kwanini makanisani kuna walinzi na viongozi wa dini wana walinzi lakini sisi waumini tunaambiwa malaika watatulinda?

Tukiweka pembeni ufia Dini kwanini makanisani kuna walinzi na viongozi wa dini wana walinzi lakini sisi waumini tunaambiwa malaika watatulinda?

Ni mfumo tu wa Mungu, hata huko Mbinguni kwa Mungu Mkuu kuna walinzi wanaomlinda Muumba wa vyote, ila hao walinzi wenyewe hawana ulinzi wa moja kwa moja.
KUNA UMHM WA KUSOMA BIBLIA.. KAA UKIJUA SISI WAKRISTO TU WAFUASI WA YESU.
petro alivyoona upuuz umezd alimkat mtu sikio, yesu akasikitika sana
kitendo cha yesu kukataa ile tabia, alimanisha kuwa huo ulinzi haufai.
HATA HVO BIBLIA INASEMA TOKEA ZAMANI KULIKUWEPO NA WALINZI WA KIMWILI WA NYUMBA YA NYUMBA.
 
Haya mambo ya ulinzi wa ajabu ajabu yameanza miaka hii hii ya karibuni. Zamani makanisa na watumishi wa Mungu waliogopewa sana. ilikuwa si rahisi kuingia ingia hovyo hovyo kanisani wala kumzoea zoea mtumishi wa Mungu. Watu waliingia kanisani kwa adabu na heshima sana kusali tu. Siku hizi ukora umekuwa mwingi sana
 
Muumini: Unauziwa sticker na maji ya baraka kwa ajili ya ulinzi wako
Mtume/nabii: yeye analindwa na bodigadi na chawa

Muumini: unaombewa ili upone ugonjwa, na ukipona ni yale mahonjwa yasio onekana.
Mtume/Nabii: Yeye ana Madaktari wake wa kumtibu na kukagua afya yake mara kwa mara.
 
Ulinzi ni muhimu Kuna mazombi mengine Huwa yanazinduka kurudi kwenye ubinadamu yanaweza kudai pesa zao. Hebu fikiria MTU na diploma au digrii yake anadanganywa kuwa atapata kazi, gari nyumba au mume kupitia mafuta au maji kweli, Huwa sio uzombie
 
Vita yenu waamini/waumini ya kiroho...

Vita ya Viongozi either wa kiserikali au ya kidini ni ya Roho na Mwili.

Tuanzie hapa... Ni kitu gani kinachoweza kukufanya ukahitaji bodyguard ili hoja yako ilete mashiko.
 
Madaraka ya kidunia
 
Back
Top Bottom